magnifico JF-Expert Member Joined Jan 14, 2013 Posts 11,075 Reaction score 24,634 Nov 1, 2019 #41 Unapanga kumibia jirani yako kumbe ye kapanga kukuua.
CONTROLA JF-Expert Member Joined Sep 15, 2019 Posts 7,001 Reaction score 23,449 Nov 1, 2019 #42 Speeed prrrrrrrr mpk kivukoni nazunguka kwa kule nyuma naenda white House naruka ule ukuta naingia ndanii yani ntazunguka lile jengo lote ntaingia ndani nnje nione lina nini,nikitoka hapo naingia ndani kabisa Natafuta room anayolala mkuuu naenda naangalia analalia godoro DODOMA kama haya haya au yeye analala wapi Ki ufupi masaa 24 yote ntayatumia ku survey ndani ya lile jengo kuchunguza kila kitu yani.
Speeed prrrrrrrr mpk kivukoni nazunguka kwa kule nyuma naenda white House naruka ule ukuta naingia ndanii yani ntazunguka lile jengo lote ntaingia ndani nnje nione lina nini,nikitoka hapo naingia ndani kabisa Natafuta room anayolala mkuuu naenda naangalia analalia godoro DODOMA kama haya haya au yeye analala wapi Ki ufupi masaa 24 yote ntayatumia ku survey ndani ya lile jengo kuchunguza kila kitu yani.