ANCIENT FROM EGYPT
JF-Expert Member
- Oct 24, 2015
- 927
- 1,136
Nitaandamana!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! tena ule mkoa wa kipigo cha Mbwa Koko!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hapo safi tutakuwa pamojaNitavuta sana bhangi
wewe kuandamana muda hautatosha kukamilisha kusudiNitaandamana!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! tena ule mkoa wa kipigo cha Mbwa Koko!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
ahah kwa hiyo unataka baada ya hizo 24hrs tutangaze serikali ya mpito siyo?Kama kuna mtu yeyote anayekumbuka tukio la john.f.kennedy?
kwa kweli waturuhusu TU tukatoe alosto maana saivi tunaivuta kwa shida Sana..hata upatikanaji wake umekua mgumuNaenda kuvuta bangi Stakishari
yep naipata mkuu ndiko nilipo toa idea ya bandiko hiliKuna movie inaitwa purge ,serikali ya marekani ilitoa masaa 24 watu wafanye uhalifu kadiri ya uwezo then wakafunga vituo vya polis wakafunga hospital wakazima number za simu za dharura ilipofika hio siku kilichotokea wacha kabisa usiombe serikali ikaenda likizo hata kama yakidhalimu namna gan
kwa kweli waturuhusu TU tukatoe alosto maana saivi tunaivuta kwa shida Sana..hata upatikanaji wake umekua mgumu
Mzee wa papuchi kwenye ubora wako[emoji23][emoji23].Natia mimba wanafunzi wote.
Haya ndio paaap umepewa masaa 24 ufanye uvunjifu wa sheria na hutoshtakiwa. Utafanya tukio gani la kihalifu?
Tupe na mipango utakayotumia kutekeleza uhalifu huo, maana kipindi hicho kila mtu atakuwa makini.
Twende kazi.
ndiyoBila shaka umekopi idea kwenye movie ya kimarekani, ambayo wananchi wanapewa nafasi ya kufanya uasi ndani ya masaa 24, kulipiza kisasi kutumia silaha uipendayo kuua kuchinja na mengineyo..a very nice and interesting movie