Yatolewe masaa 24 kila mtu avunje sheria atakavyo bila kushtakiwa

Nitaandamana!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! tena ule mkoa wa kipigo cha Mbwa Koko!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Kuna movie inaitwa purge ,serikali ya marekani ilitoa masaa 24 watu wafanye uhalifu kadiri ya uwezo then wakafunga vituo vya polis wakafunga hospital wakazima number za simu za dharura ilipofika hio siku kilichotokea wacha kabisa usiombe serikali ikaenda likizo hata kama yakidhalimu namna gan
 
yep naipata mkuu ndiko nilipo toa idea ya bandiko hili
 
Bila shaka umekopi idea kwenye movie ya kimarekani, ambayo wananchi wanapewa nafasi ya kufanya uasi ndani ya masaa 24, kulipiza kisasi kutumia silaha uipendayo kuua kuchinja na mengineyo..a very nice and interesting movie
Haya ndio paaap umepewa masaa 24 ufanye uvunjifu wa sheria na hutoshtakiwa. Utafanya tukio gani la kihalifu?

Tupe na mipango utakayotumia kutekeleza uhalifu huo, maana kipindi hicho kila mtu atakuwa makini.

Twende kazi.
 
Nadhani Saa 24 zikishaisha uliokuwa umewaibia watakushughulikia kwa kukuchoma moto wewe ndio utakuwa wa kwanza kula matunda ya huo uhuru
 
Bila shaka umekopi idea kwenye movie ya kimarekani, ambayo wananchi wanapewa nafasi ya kufanya uasi ndani ya masaa 24, kulipiza kisasi kutumia silaha uipendayo kuua kuchinja na mengineyo..a very nice and interesting movie
ndiyo
 
Nakula zangu Ganja Central station huku nikijipapasia mwanafunzi polepoleee. Fujo Isiyoumiza
 
Back
Top Bottom