Speeed prrrrrrrr mpk kivukoni nazunguka kwa kule nyuma naenda white House naruka ule ukuta naingia ndanii
yani ntazunguka lile jengo lote ntaingia ndani nnje nione lina nini,nikitoka hapo naingia ndani kabisa Natafuta room
anayolala mkuuu naenda naangalia analalia godoro DODOMA kama haya haya au yeye analala wapi
Ki ufupi masaa 24 yote ntayatumia ku survey ndani ya lile jengo kuchunguza kila kitu yani.