Yawezekana Dudubaya Yuko Sahihi(?)

Nimeisikiliza ile Clip... hili liDudujiBaya hakuna sehemu lilipomtaja Ruge...

Jamaa lijanja sana. Wakilipeleka mahakamani litawashinda Big time.
Mtikila alicheza ngoma alivyokufa Nyerere hakumtaja akala mvua ya mwaka...jamaa litafungwa wakiunganisha Na clips za nyuma alivyowataja watangazaji mashoga..
 
Mtikila alicheza ngoma alivyokufa Nyerere hakumtaja akala mvua ya mwaka...jamaa litafungwa wakiunganisha Na clips za nyuma alivyowataja watangazaji mashoga..
Na hiyo unaona ni haki?
 
Ni ajabu sana kuona kuna watu wanaona hii tabia ni sawa, sijui dini yako ila sisi dini yetu inataka watu kuongelea mazuri tu ya marehemu. Hivi wewe itokee umepoteza mtu wako halafu anakuja mtu anamtukana marehemu sababu tu hakuwa na urafiki naye utakaa kimya? pambana na mtu akiwa mzima anaweza kukujibu sio mtu kafa ndio matusi yule hawezi kujitetea. Hii tabia ikemewe kwa nguvu zote tugombane tukiwa hai lakini mtu akienda mbele ya haki ongea mazuri kama hutaki unafiki kaa kimya kwani tatizo nini ukikaa kimya. Hakuna mahakama ya kuhukumu huyu marehemu ni yeye na Mungu wake na Mungu ni wa kusamehe na sisi kumuombea amsamehe maana hata sisi tumekosea watu na wako wanatuchukia sana tu, sasa tukiacha haya kwa sababu za unafiki basi misiba itakuwa sehemu za matusi. Hii sio kidini wa mila zetu zinakataza kabisa.
 
Mamba amesema kama Ruge na Clouds hawakuwa wanyonyaji basi waonyeshe mikataba ya show za wasanii toka 2001
Kwani alishikiwa bunduki kuimba? wewe unaona huna maslahi kataa kuimba. utafanya kazi vipi huna mkataba halafu uje unalalamika. ile ni show sio ajira unaona hufaidiki nayo acha kwani lazima. si akafanye show yeye halafu tuone kama watu wataingia.
 
Simlaumu Jay dee au Diamond maana kwenda msibani sio lazima kama hajisikii ni sawa tu kikubwa hawajamtukana mtu sio tatizo kabisa. msiba ni wandugu na marafiki zake sio lazima kila mtu aende kwani akienda Jay dee au Diamond itasaidia nini hata yeye alifiwa na mama yake watu hawakwenda na hakuna kulalamika sawa tu.
 
Unachokosea ni kufikiria binadamu tuna same thinking capacity, ndo mana una judge hivo. Huwezi control wote wawe na mitazamo sawa, kama wewe unahuzunika ni sawa pia usimnyime mwingine asiyeguswa na jambo kuwa ni kosa na anatenda dhambi.

Naona umeingiza had maswala ya imani, mie dini yangu waliokufa kazi yao imeisha dunia na hawatasikia mpaka Yesu atakaporudi so kumsifia marehemu hasikii bora ingekuwa akiwa hai.

Mtu yoyote akimsema ndugu yangu naona sawa siwezi mpangia cha kufikiri yuko huru kabisa, ukijua binadamu kuongea ni asili yetu wallah huwezi kuwa judgemental zaidi ya kuwa mstaarabu na kujifunza kutofautiana mawqzo
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi namkubali Ruge ila huu ujinga wa Ku force kila mtu ni tatizo, huko IG watu wana mshambulia diamond a post, same to Jide kafunga had comments.
Dada angu jide hajampost chochote kuhusu msiba wa ruge, lakini kuna wapumbavu wataanza kulalamika,watu wanalazimisha kila mtu ahuzunike na msiba wa jamaa,acheni kupangiana Maisha kila mtu aishi kimpango wake

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ila naona watanzania wengine mna matatizo hivi nani amekwambia kama mtu una ugomvi nae hata akikumbwa na umauti usimuombee heri ??? Kwahiyo ulitaka Mange apost kumponda mtu ambae Mungu amemchukua au ulitaka wale wote ambao walikua hawana maelewano na aliyefariki washerehekee. Kwanza inabidi usikitike kwan amefariki kabla hamjasuluhishana na kumaliza tofauti mlizokua nazo. Alichokifanya dudubaya sio sahihi kwa kipindi hiki na ni upuuzi na dhambi kwa Mwenyezi Mungu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa si wamemkmata tayar ataonyesha ushahidi

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Mkuu mstari wa mwisho kwa ulichokiandika ndo wa msingi sana ....Tanzania kuna watu wanafiki sana kusifiana na kupeana vyeo ukishakufa ila rohoni wanadai bora kafa....Ruge wasanii wengi walimlaumu sanana hiyo inajulikana sema kwa kuwa kafa leo hii wapi kimya na kumsifu...mabifu yanajulikana wazi ila wanajilazimisha kuonyesha huzuni kuwafurahisha walio wahi kuwa huzunisha.....Kwangu Dudu huko sahihi.
 
Dada angu jide hajampost chochote kuhusu msiba wa ruge, lakini kuna wapumbavu wataanza kulalamika,watu wanalazimisha kila mtu ahuzunike na msiba wa jamaa,acheni kupangiana Maisha kila mtu aishi kimpango wake

Sent using Jamii Forums mobile app
Wabongo wengi sana wana stress mno, dalili mojawapo ni hii ya kutukana hovyo, bado najiuliza shida iko wapi?
 
Wewe dini gani imekwambia uongelee mazuri tu ya marehemu?
 
Yaan serikali sasa inajifanya kama baba mwenye nyumba yaan akiingia wote kimya
Huu n usenge wa hali ya juu...
 
Maneno yako ni kweli ila wengi wetu tunaongozwa na dini mbili kubwa iko moja wao hawana mambo ya wasifu mtu akifariki wanazika na kumuomba Mungu tu amsamehe hakuna kumuaga ila close family tu na wako wengine wanatoa wasifu kabla ya kuzika na kuachia watu kumuaga sasa inabidi uheshimu wote maana huwa tunazikana hata kama dini tofauti. ila kote huko huwezi kusikia mtu anatoa matusi na kuongea kuna mipaka yake ongea kwako hakuna mtu atasema kitu ila unataoka katika media na matusi hiyo ni extra step kuchokoza watu. tukana kwako wala hakuna mtu atasema kitu sio unaenda kweye msiba wa watu unaanza matusi utegemee utaachwa tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…