Yawezekana Dudubaya Yuko Sahihi(?)

Yawezekana Dudubaya Yuko Sahihi(?)

Ukisema fulani ni tapeli bila kua na ushahidi, basi umemdhalilisha.

Kama mtu tapeli, ushahidi unao ila huendi mahakamani ili upewe haki yako, badala yake uaishia kumdhihaki kwenye mitandao ya kijamii basi wewe ndie utakaeshughulikiwa!

Ukisema Ruge ni tapeli, tuambie amekutapeli nini na umechukua hatua gani za kisheria.

Kama huwezi just cut the crap and shut your trap!

- KANA -
Mamba amesema kama Ruge na Clouds hawakuwa wanyonyaji basi waonyeshe mikataba ya show za wasanii toka 2001
 
Inawezekana Wewe ukawa mnafiki mzuri !!! Watanzania wanafiki mno mno haiwekani MTU akiwa hair afanye ubara kwa watu ( wasanii) ila akifa tuu ndio apendwe never
Sasa wewe hata kuandika huwezi sijui tukusaidiaje, au unamtetea mnywa konyagi mwenzako
 
Ukisema fulani ni tapeli bila kua na ushahidi, basi umemdhalilisha.

Kama mtu tapeli, ushahidi unao ila huendi mahakamani ili upewe haki yako, badala yake uaishia kumdhihaki kwenye mitandao ya kijamii basi wewe ndie utakaeshughulikiwa!

Ukisema Ruge ni tapeli, tuambie amekutapeli nini na umechukua hatua gani za kisheria.

Kama huwezi just cut the crap and shut your trap!

- KANA -

Kwenye logic concepts kuna: False then False is true.

Kwamba uongo ukitamkwa mara nyingi bila kukanushwa unakuwa ukweli.

Hizi tuhuma zilikuwepo toka zamani, na anayetuhumiwa hakuwahi kukana wala kwenda mahakamani kwamba anadhalilishwa.
 
Acha ujinga Yani mtu anyamaze wakati kuna kitu moyoni nimemkba
Kuna vitu vingine sio lazima mtu uchangie au u-react.

Binafsi sijaona haja ya kuhangaika kuweka beef na marehemu. He is gone for good. Whether alikuwa ana roho nzuri au mbaya. After all kila mtu ana udhaifu wake.

Kama aliona hana zuri la kumkumbuka nalo, angenyamaza tu. Ni utamaduni wetu kama binadamu mtu anapofariki kumkumbuka kwa wema.

Rest in eternal peace, Ruge Mutahaba.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sijaona sababu ya watu kumshambulia dudubaya kwa kutoa ya moyoni, pia huwezi force mtu ahuzunike, Jamii yetu weusi imejawa na unafiki twamlaumu Raisi kwa afanyayo, ila na Jamii nayo haipendi mawazo tofauti zaidi ya unafiki

Sent using Jamii Forums mobile app
Pengine ndio sababu hatuendelei, we are not realistic, after all ameshaongea ya kwake, kitakachobadilika nini? Hatuwezi kubadilisha yakiyopita. Ili liwe kama somo kwetu tuliobaki, kuwa haya maisha tunayojivunia nayo yana mwisho, hakuna haja ya kukandamiza au kuonea watu kwa vinafasi tulivyopata hapa dunia.
 
Huyo jamaa anatafuta attention tu ni wa kupuuzwa,Jaydee ndo ana uhasama mbwa na Ruge mbona yupo tu busy na mishe zake kawaachia unaowahusu waomboleze.Huu ujinga mnaou-support ukija ku-backfire kwa hao wanaowahusu mtakuja kutubania pua humu
 
Nimetoka nchini instagram na nimefanikiwa kutembelea majiji ya platnumz na jide kwakweli hali ni shwari na watu wanaendelea na shughuli zao kama hakuna lililotokea katika jiji jirani la mawingu ambapo watu wanasimanzi haswa kutokana na tetemeko lililolikumba jiji hilo na kusababisha maafa makubwa. Kabla sijafunga safari ya kuja huku, nilitua pale theduduz city, aaaaa pale ni balaa, watu wamelewa chakari, nilipohoji sababu ya kulewa huko, nikajibiwa wanasherehe kubwaaaa bila ya kupewa ufanunuzi sherehe inahusu nini, ingawaje nimeambiwa meya wa jiji hilo ametakiwa kuripoti ofisi kuu ya usalama mapema hivi leo.
 
Back
Top Bottom