ielewemitaa
JF-Expert Member
- Jan 7, 2014
- 10,764
- 9,477
Mamba amesema kama Ruge na Clouds hawakuwa wanyonyaji basi waonyeshe mikataba ya show za wasanii toka 2001Ukisema fulani ni tapeli bila kua na ushahidi, basi umemdhalilisha.
Kama mtu tapeli, ushahidi unao ila huendi mahakamani ili upewe haki yako, badala yake uaishia kumdhihaki kwenye mitandao ya kijamii basi wewe ndie utakaeshughulikiwa!
Ukisema Ruge ni tapeli, tuambie amekutapeli nini na umechukua hatua gani za kisheria.
Kama huwezi just cut the crap and shut your trap!
- KANA -