Yawezekana Dudubaya Yuko Sahihi(?)

Wewe dini gani imekwambia uongelee mazuri tu ya marehemu?
Dini ziko nyingi sasa wewe angalia dini yako inasema nini sio kuniuliza wewe dini gani? hapo tu najuwa uelewa wako mdogo au hauko katika dini mbili kubwa kama upo basi soma usiwe mvivu haijalishi dini gani katika hizo mbili.
 
Wewe dini gani imekwambia uongelee mazuri tu ya marehemu?
1 Thessalonians 4:13–18
Embed






The Coming of the Lord
13 But we do not want you to be uninformed, brothers, about those who are asleep, gthat you may not grieve as others do hwho have no hope. 14 For isince we believe that Jesus died and rose again, even so, through Jesus, God will bring with him jthose who have fallen asleep. 15 For this we declare to you kby a word from the Lord,4 that lwe who are alive, who are left until mthe coming of the Lord, will not precede those who have fallen asleep. 16 For nthe Lord himself will descend ofrom heaven pwith a cry of command, with the voice of qan archangel, and rwith the sound of the trumpet of God. And sthe dead in Christ will rise first. 17 Then we who are alive, who are left, will be tcaught up together with them uin the clouds to meet the Lord in the air, and so vwe will always be with the Lord. 18 Therefore encourage one another with these words.
 
Wewe dini gani imekwambia uongelee mazuri tu ya marehemu?
Wapenzi, msijilipize kisasi, bali ipisheni ghadhabu ya Mungu; maana imeandikwa, Kisasi ni juu yangu mimi; mimi nitalipa, anena Bwana. Lakini, Adui yako akiwa na njaa, mlishe; akiwa na kiu, mnyweshe; maana ufanyapo hivyo, utampalia makaa ya moto kichwani pake. Usishindwe na ubaya, bali uushinde ubaya kwa wema.Warumi 12:19-21
 
Kitendo cha kuomboleza kinaelezwa kwamba kina lengo la kuifariji familia ya mfiwa, kuwapatia afueni na kupunguza majonzi. Mjumbe wa Allaah amesema: ((Muumini ambaye anamuomboleza ndugu yake kwa kufariki kwake atavishwa na Allaah nguo bora kabisa kwa heshima na hadhi ya juu Siku ya Qiyaamah.))



b. Hakuna mfumo maalumu wa kuomboleza. Hata hivyo, Imaam Ash-Shafi’iy amependekeza kauli ya: ((Allaah Akujaalie kuongezeka malipo yako, Akupatie faraja na kumsamehe maiti wako.))
 
Ruge si hero/shujaa wa watanzania. Ni kweli kaumiza sana wanamuziki na kwa makusudi aliua vipaji vya wanamuziki wengi, wacha watu wamseme kwani si kosa...ukweli unabaki kuwa ukweli tu.
 
Kuna kitu watu hatukijui. Ni kweli marehemu Ruge alikuwa na mazuri yake na mabaya yake. Hatuwez tukawa na mfikirio sawa.

Yeye kutokumpenda na kumchukia Ruge ni haki yake kwasababu zao hasa za maslahi.

Lakini baada ya Ruge kufariki angetumia busara kubwa kutokuongea kwenye mitandao ya kijamii kwasababu alishasema tangia mwanzo kuwa yy na Ruge haziivi kwahyo tunajua na tusingeshangaa kabisa.

Ila kitendo cha kuanza kuongea tena mambo yale yale baada ya Ruge kufariki hajamtendea haki kwasababu Ruge hayupo na hawez kujibu angetumia uungwana wa kawaida wa watanzania kunyamaza msiba upite kisha ajipambanue baadae.


Vijana wengi waliopitia kwa Ruge hawatasema ukweli kwasababu wameona msiba ni mzito sana na kila MTU anamuenzi Ruge kwa mema ila mabaya km yale ya kubebeshwa madawa ya kulevya na kupewa hela kiduchu hakuna atakaye yasemea.


Issue ya Makonda kuvamia clouds inajulikana palikuwa na mzigo mzito wa sembe! Sema makonda alikosea timingiiii akakuta washasepa hakuna kitu.

Tuwe wa kweli tu naiman tutaishi kwa amani.


Pumzika kwa Amani Ruge, Mungu akusamehe makosa yako yote, nakuombea.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nina uhakika Jide,Ruby,Rama Dee,Soggy Doggy,Nikki Mbishi,Ommy G,Diamond wana mawazo kama ya Dudu ila wao hawajafyatuka,nakumbuka wakati wa ugonjwa wa Ruge niliona Insta ya Rama Dee aliandika ujumbe wenye ukakasi sana ingawa hakutaja jina kama alivyofanya Dudu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kama alikua anamyonya basi kafariki, tusubiri kuona Dudu baya anavo tusua.
R.I.P Ruge
 
Yupo sahihi lakini akutakiwa kuonyesha hisia zake kwa sasa juu ya marehemu ona sasa BASATA wamemfungia ye kapata faida gani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…