Yawezekana huyu ndo Secret Service counter assault team member aliyemuua jamaa aliyempiga risasi Donald Trump

Hii utakuwa stage movie ili apate kura za huruma kwa undecided, yaani mtu ashike chuma kabisa alafu asipe sehemu yeyote mwilini aishie kupiga sikio au hizo risasi za huko US ni tofauti na risasi za nchi nyingine zile ambazo zikipiga maeneo ya sikio zingefumua na taya yote ya meno.
 
Wandengereko kwa ujuaji πŸ™Œ
 
Putin anaingiaje hapo
 
Nil
Nilkua nakuheshimu hapa jukwaani kumbe ni bure kabsa .
 
Nil

Nilkua nakuheshimu hapa jukwaani kumbe ni bure kabsa .
Mkuu Ni mawazo binafsi kuamsha Genge usiyachukulie Serious 🀣🀣🀣
Wote tunajua hayana ukweli kwa mtu mwenye Utimamu kuyaandika Ni jokes tu 🀣🀣🀣..

Sometimes usichukulie serious sana...

But swali la Kujiuliza Report inasema National Services waliambiwa kabla hata Hajaanza kupigwa risasi wala kabla hata hajaanza kupanda huyo sniper pamoja na FBI walitaarifiwa unafikiri kwanini hawakuchukua hatua..

Kwenye hii kitu ina viti vingi sana ambavyo viko Chini ya Carpet
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…