Lwiva
JF-Expert Member
- Apr 17, 2015
- 15,416
- 22,334
Ujaelewa madaDuh,mbona alikuwa so open,hapa kuna namna aisee
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ujaelewa madaDuh,mbona alikuwa so open,hapa kuna namna aisee
Aisee... Hii ni bahati kubwa.
View: https://twitter.com/Vinod_r108/status/1812300683187781955?t=6d_5_hfKTPQAoHAcrt14xw&s=19
Marekani hamna tofauti na Congo.
Mungu amemuokoa Rais Donald Trump, Sniper amefanya kila analoweza ndio hivyo kaambulia sikiomchezo wa kitoto huu, sniper aliye serious hamkosi hata akiwa umbali wa maili moja na akijuwa anamkosa hapotezi risasi yake kwa ku shoot tu.
Akaamua afe asiyehusika? Mnapenda msingizia MUNGU sana.Ukweli ni kwamba ni Mungu Ndiye aliyemwepusha Trump na hilo janga!
Hili ndio swali nami nimejiuliza... maana kama jamaa angepaga tageti vizuri secret service ingekua na maswali mengi sana ya kujibu.....Nawaza kwanini hakuchukua hizo hatua mapema mpaka akasubiri mshambuliaji ampige risasi Trump?
Wandengereko kwa ujuaji 🙌i think hii ni Propaganda aliyotengeneza Trump ili kugain Urais ni simple tu ametengeneza Tukio ili ionekane kuwa Amepigwa risasi na Joe biden..
So ameharibie biden ili ashinde..
A sniper Hawezi kukosa Kuchapa risasi trump na alikuwa sehemu nyeupe hivyo..
Na kwanini wamewahi kumuua wasingeacha kumuhoji?
Putin anaingiaje hapoSahihi kabisa huyu SSA ndo amemuua mshambuliaji Kwa kutizana Eneo alokuwepo Trump, Upande Risasi ilompitia Trump, na Wapi SSA alipona.
Kumbe Dunia Haina Hakikisho kabisa la Usalama iwe Marekan iwe Wapi, jamaa sahizi angekua ni JFK wa Pili .
Hata Putin Sasa awe makini, ataondoka.
Soros Family wameamua
Nilkua nakuheshimu hapa jukwaani kumbe ni bure kabsa .i think hii ni Propaganda aliyotengeneza Trump ili kugain Urais ni simple tu ametengeneza Tukio ili ionekane kuwa Amepigwa risasi na Joe biden..
So ameharibie biden ili ashinde..
A sniper Hawezi kukosa Kuchapa risasi trump na alikuwa sehemu nyeupe hivyo..
Na kwanini wamewahi kumuua wasingeacha kumuhoji?
👏👏👏👏👏👏👏👏👏👍Una hakika umelielewa tukio vizuri, au ni mwendo wa kujikomentisha tu kwa hisia?
Ukweli ni kwamba ni Mungu Ndiye aliyemwepusha Trump na hilo janga!
We acha TU ndugu yangu.Wandengereko kwa ujuaji 🙌
Dada yangu Ukiona mada Iko juu ya uwezo wako ni Bora upitie TU maoni ya watu wengine.mchezo wa kitoto huu, sniper aliye serious hamkosi hata akiwa umbali wa maili moja na akijuwa anamkosa hapotezi risasi yake kwa ku shoot tu.
Huyo aliyeshoot,naona hakuwa kwenye kificho,sasa sijui alijiaminijeNani alikuwa open? Huyo secret service agent?
🤣🤣🤣...Wandengereko kwa ujuaji 🙌
Mkuu Ni mawazo binafsi kuamsha Genge usiyachukulie Serious 🤣🤣🤣Nil
Nilkua nakuheshimu hapa jukwaani kumbe ni bure kabsa .