barafuyamoto
JF-Expert Member
- Jul 26, 2014
- 32,378
- 29,739
Basi ameshashinda maana hata hapa Tz tunampigia kura...i think hii ni Propaganda aliyotengeneza Trump ili kugain Urais ni simple tu ametengeneza Tukio ili ionekane kuwa Amepigwa risasi na Joe biden..
So ameharibie biden ili ashinde..
A sniper Hawezi kukosa Kuchapa risasi trump na alikuwa sehemu nyeupe hivyo..
Na kwanini wamewahi kumuua wasingeacha kumuhoji?
Ukimsikiliza shuhuda aliyehojiwa na bbc ni kwamba walikua wakiwaambia SS ila kwa sauti hawakuwasikia, na wao walikua wanamuona shooter la SS hawakua wanamuona sababu walikua upande wa pili wa slop ya bati... tukio zima halijazidi dk nne, that was somehow quick kujiposition na kummaliza...Mkuu Ni mawazo binafsi kuamsha Genge usiyachukulie Serious π€£π€£π€£
Wote tunajua hayana ukweli kwa mtu mwenye Utimamu kuyaandika Ni jokes tu π€£π€£π€£..
Sometimes usichukulie serious sana...
But swali la Kujiuliza Report inasema National Services waliambiwa kabla hata Hajaanza kupigwa risasi wala kabla hata hajaanza kupanda huyo sniper pamoja na FBI walitaarifiwa unafikiri kwanini hawakuchukua hatua..
Kwenye hii kitu ina viti vingi sana ambavyo viko Chini ya Carpet
Hata BBC wamesema inasemakana huyu ndiye alimtungua.
Wacha ujinga wewe, mada hii ina lipi la kuwa juu ya uwezo wa yeyote?Dada yangu Ukiona mada Iko juu ya uwezo wako ni Bora upitie TU maoni ya watu wengine.
i think hii ni Propaganda aliyotengeneza Trump ili kugain Urais ni simple tu ametengeneza Tukio ili ionekane kuwa Amepigwa risasi na Joe biden..
So ameharibie biden ili ashinde..
A sniper Hawezi kukosa Kuchapa risasi trump na alikuwa sehemu nyeupe hivyo..
Na kwanini wamewahi kumuua wasingeacha kumuhoji?
Mawazo ya kipumbavu haya.Hii utakuwa stage movie ili apate kura za huruma kwa undecided, yaani mtu ashike chuma kabisa alafu asipe sehemu yeyote mwilini aishie kupiga sikio au hizo risasi za huko US ni tofauti na risasi za nchi nyingine zile ambazo zikipiga maeneo ya sikio zingefumua na taya yote ya meno.
Kama walimuona Anapanda Was it not a suspicious Action mtu anapanda na Silaha juu Walitakiwa kumtengua kabla hajafanya mashambulizi ingekuwa ni Biden hata Dakika moja isimgefika..Ukimsikiliza shuhuda aliyehojiwa na bbc ni kwamba walikua wakiwaambia SS ila kwa sauti hawakuwasikia, na wao walikua wanamuona shooter la SS hawakua wanamuona sababu walikua upande wa pili wa slop ya bati... tukio zima halijazidi dk nne, that was somehow quick kujiposition na kummaliza...
IIa swali ni why SS agent gave the shooter a free shot before taking him out??? What if that free shot was a success?.
Ndiyo kwanza kazi inaanza, hapa Trump lazΔ±ma ajiulize tu agombee tena au aende jela kunyea ndoo kutokana na makasa aliyofanya huko nyuma
Hii ni kwenye movie eeeh?mchezo wa kitoto huu, sniper aliye serious hamkosi hata akiwa umbali wa maili moja na akijuwa anamkosa hapotezi risasi yake kwa ku shoot tu.
Soros hawana huo ujingaSahihi kabisa huyu SSA ndo amemuua mshambuliaji Kwa kutizana Eneo alokuwepo Trump, Upande Risasi ilompitia Trump, na Wapi SSA alipona.
Kumbe Dunia Haina Hakikisho kabisa la Usalama iwe Marekan iwe Wapi, jamaa sahizi angekua ni JFK wa Pili .
Hata Putin Sasa awe makini, ataondoka.
Soros Family wameamua
Niliwaambia mchezo wa kitoto hamjanielewa, mmeona nani aliyefanya jaribio? Ameshajulikana.Hii ni kwenye movie eeeh?
π€π€π€
πππ Unachekesha mno.Niliwaambia mchezo wa kitoto hamjanielewa, mmeona nani aliyefanya jaribio? Ameshajulikana.
Mtaelewa tu kuwa uzee ni dawa, siyo ugonjwa.
ilikuwa lazima wamuue dogo ili kupoteza ushahidi asije kuja kuropoka. vijana wa 20s wakibanwa kidogo tu wangesema nani aliwatuma.
unajua hiyo ilikuwa rahisi sana, waliomwona anapanda walijua labda ni mojawapo ya secret service mwenzao kwasababu kwa historia kitambo sasa sio rahisi mtu binafsi kupita na bunduki kwa uhuru vile na kupanda kule juu kama sio mlinzi. wengine wanasema walinzi wa marekani wengi walitamani trump auawe, ndio maana walilegeza, kila mtu anaongea la kwake, lakini all in all, kulikuwa na nafasi dogo kukamatwa akiwa hai ila wakaamua kupoteza ushahidi.Atakuwa ni individual asiyempenda Trump ndie aliyefanya hivyo, chama cha Democrats kisihusishwe na hilo tukio.
Trump hata kama anaelekea kuwa President wa USA, but awe makini sana, namuona JF Kennedy mwingine yuko njiani kutokea kwenye historia ya Marekani.
Sera za Trump wakati mwingine ndizo zinamsababishia matatizo, nakumbuka wakati wa utawala wake wapo waliosema Putin ameliwekea taifa la Marekani Rais, hii ilikuwa kama kashfa kwa taifa la Marekani.
Je, this time, CIA na FBI wataruhusu ile hali ijirudie? Kwasababu inavyoonekana ushindi wa Trump ni sawa na ushindi kwa Putin.
Aisee!!ilikuwa lazima wamuue dogo ili kupoteza ushahidi asije kuja kuropoka. vijana wa 20s wakibanwa kidogo tu wangesema nani aliwatuma.
1. Thomas alijuaje hilo eneo la juu na kwamba lisingekuwa na ulinzi?unajua hiyo ilikuwa rahisi sana, waliomwona anapanda walijua labda ni mojawapo ya secret service mwenzao kwasababu kwa historia kitambo sasa sio rahisi mtu binafsi kupita na bunduki kwa uhuru vile na kupanda kule juu kama sio mlinzi. wengine wanasema walinzi wa marekani wengi walitamani trump auawe, ndio maana walilegeza, kila mtu anaongea la kwake, lakini all in all, kulikuwa na nafasi dogo kukamatwa akiwa hai ila wakaamua kupoteza ushahidi.