Yawezekana huyu ndo Secret Service counter assault team member aliyemuua jamaa aliyempiga risasi Donald Trump

Yawezekana huyu ndo Secret Service counter assault team member aliyemuua jamaa aliyempiga risasi Donald Trump

i think hii ni Propaganda aliyotengeneza Trump ili kugain Urais ni simple tu ametengeneza Tukio ili ionekane kuwa Amepigwa risasi na Joe biden..

So ameharibie biden ili ashinde..
A sniper Hawezi kukosa Kuchapa risasi trump na alikuwa sehemu nyeupe hivyo..
Na kwanini wamewahi kumuua wasingeacha kumuhoji?
Basi ameshashinda maana hata hapa Tz tunampigia kura...
 
Mkuu Ni mawazo binafsi kuamsha Genge usiyachukulie Serious 🤣🤣🤣
Wote tunajua hayana ukweli kwa mtu mwenye Utimamu kuyaandika Ni jokes tu 🤣🤣🤣..

Sometimes usichukulie serious sana...

But swali la Kujiuliza Report inasema National Services waliambiwa kabla hata Hajaanza kupigwa risasi wala kabla hata hajaanza kupanda huyo sniper pamoja na FBI walitaarifiwa unafikiri kwanini hawakuchukua hatua..

Kwenye hii kitu ina viti vingi sana ambavyo viko Chini ya Carpet
Ukimsikiliza shuhuda aliyehojiwa na bbc ni kwamba walikua wakiwaambia SS ila kwa sauti hawakuwasikia, na wao walikua wanamuona shooter la SS hawakua wanamuona sababu walikua upande wa pili wa slop ya bati... tukio zima halijazidi dk nne, that was somehow quick kujiposition na kummaliza...
IIa swali ni why SS agent gave the shooter a free shot before taking him out??? What if that free shot was a success?.
 
Mawazo ya kijima kabisa haya.
i think hii ni Propaganda aliyotengeneza Trump ili kugain Urais ni simple tu ametengeneza Tukio ili ionekane kuwa Amepigwa risasi na Joe biden..

So ameharibie biden ili ashinde..
A sniper Hawezi kukosa Kuchapa risasi trump na alikuwa sehemu nyeupe hivyo..
Na kwanini wamewahi kumuua wasingeacha kumuhoji?
 
Hii utakuwa stage movie ili apate kura za huruma kwa undecided, yaani mtu ashike chuma kabisa alafu asipe sehemu yeyote mwilini aishie kupiga sikio au hizo risasi za huko US ni tofauti na risasi za nchi nyingine zile ambazo zikipiga maeneo ya sikio zingefumua na taya yote ya meno.
Mawazo ya kipumbavu haya.
 
Ukimsikiliza shuhuda aliyehojiwa na bbc ni kwamba walikua wakiwaambia SS ila kwa sauti hawakuwasikia, na wao walikua wanamuona shooter la SS hawakua wanamuona sababu walikua upande wa pili wa slop ya bati... tukio zima halijazidi dk nne, that was somehow quick kujiposition na kummaliza...
IIa swali ni why SS agent gave the shooter a free shot before taking him out??? What if that free shot was a success?.
Kama walimuona Anapanda Was it not a suspicious Action mtu anapanda na Silaha juu Walitakiwa kumtengua kabla hajafanya mashambulizi ingekuwa ni Biden hata Dakika moja isimgefika..
Inamaana hawakuwa na Armor Detector??
 
Screenshot_20240714_144440_Instagram.jpg

VAR yamuokoa trump, sikio lilikua offside laa sivyo tungeongea mengine..
 
Sahihi kabisa huyu SSA ndo amemuua mshambuliaji Kwa kutizana Eneo alokuwepo Trump, Upande Risasi ilompitia Trump, na Wapi SSA alipona.

Kumbe Dunia Haina Hakikisho kabisa la Usalama iwe Marekan iwe Wapi, jamaa sahizi angekua ni JFK wa Pili .

Hata Putin Sasa awe makini, ataondoka.

Soros Family wameamua
Soros hawana huo ujinga
 
Atakuwa ni individual asiyempenda Trump ndie aliyefanya hivyo, chama cha Democrats kisihusishwe na hilo tukio.

Trump hata kama anaelekea kuwa President wa USA, but awe makini sana, namuona JF Kennedy mwingine yuko njiani kutokea kwenye historia ya Marekani.

Sera za Trump wakati mwingine ndizo zinamsababishia matatizo, nakumbuka wakati wa utawala wake wapo waliosema Putin ameliwekea taifa la Marekani Rais, hii ilikuwa kama kashfa kwa taifa la Marekani.

Je, this time, CIA na FBI wataruhusu ile hali ijirudie? Kwasababu inavyoonekana ushindi wa Trump ni sawa na ushindi kwa Putin.
unajua hiyo ilikuwa rahisi sana, waliomwona anapanda walijua labda ni mojawapo ya secret service mwenzao kwasababu kwa historia kitambo sasa sio rahisi mtu binafsi kupita na bunduki kwa uhuru vile na kupanda kule juu kama sio mlinzi. wengine wanasema walinzi wa marekani wengi walitamani trump auawe, ndio maana walilegeza, kila mtu anaongea la kwake, lakini all in all, kulikuwa na nafasi dogo kukamatwa akiwa hai ila wakaamua kupoteza ushahidi.
 
ilikuwa lazima wamuue dogo ili kupoteza ushahidi asije kuja kuropoka. vijana wa 20s wakibanwa kidogo tu wangesema nani aliwatuma.
Aisee!!

Naona una taarifa za ndani kabisa!

Utakuwa Secret Service agent wewe!
 
unajua hiyo ilikuwa rahisi sana, waliomwona anapanda walijua labda ni mojawapo ya secret service mwenzao kwasababu kwa historia kitambo sasa sio rahisi mtu binafsi kupita na bunduki kwa uhuru vile na kupanda kule juu kama sio mlinzi. wengine wanasema walinzi wa marekani wengi walitamani trump auawe, ndio maana walilegeza, kila mtu anaongea la kwake, lakini all in all, kulikuwa na nafasi dogo kukamatwa akiwa hai ila wakaamua kupoteza ushahidi.
1. Thomas alijuaje hilo eneo la juu na kwamba lisingekuwa na ulinzi?

2. Iliwezekanaje Sniper aliyemuua Thomas afanye hivyo upesi vile kama si kwamba alikuwa amemlenga muda wote hata kabla hajampiga risasi Trump?

3. Mashuhuda wawili walihojiwa na BBC wakasema waliwaambia polisi na pia maafisa usalama kuhusu uwepo wa mtu mwenye silaha anayetiliwa shaka, lakini wao hawakuchukua tahadhari zozote.

4. Walinzi SS wa Trump walionekana kubabaika sana wakati wa tukio kana kwamba walivunjika moyo kwa lengo lao kutotimia.

5. Vyombo vikuu vya habari vyote pamoja na viongozi wa Democrats wakiongozwa na Barack Obama na Nancy Pelosi walionekana kuwa na ujumbe unaofanana sana kimaandishi na mwelekeo.

Ule wa Pelosi unashangaza zaidi maana anajizungumzia mwenyewe zaidi na wala hataji suala la kumtakia Trump kupona haraka.
 
Drama za industrial military complex ya Marekani ku maintain illusion ya uchaguzi kuwa real na wenye maana.....
 
Back
Top Bottom