Yawezekana huyu ndo Secret Service counter assault team member aliyemuua jamaa aliyempiga risasi Donald Trump

Yawezekana huyu ndo Secret Service counter assault team member aliyemuua jamaa aliyempiga risasi Donald Trump

1720927199465.png
 
Huyo kwenye tweet ni secret service agent. Siyo shooter.
Sahihi kabisa huyu SSA ndo amemuua mshambuliaji Kwa kutizana Eneo alokuwepo Trump, Upande Risasi ilompitia Trump, na Wapi SSA alipona.

Kumbe Dunia Haina Hakikisho kabisa la Usalama iwe Marekan iwe Wapi, jamaa sahizi angekua ni JFK wa Pili .


Hata Putin Sasa awe makini, ataondoka.

Soros Family wameamua
 
Atakuwa ni individual asiyempenda Trump ndie aliyefanya hivyo, chama cha Democrats kisihusishwe na hilo tukio.

Trump hata kama anaelekea kuwa President wa USA, but awe makini sana, namuona JF Kennedy mwingine yuko njiani kutokea kwenye historia ya Marekani.

Sera za Trump wakati mwingine ndizo zinamsababishia matatizo, nakumbuka wakati wa utawala wake wapo waliosema Putin ameliwekea taifa la Marekani Rais, hii ilikuwa kama kashfa kwa taifa la Marekani.

Je, this time, CIA na FBI wataruhusu ile hali ijirudie? Kwasababu inavyoonekana ushindi wa Trump ni sawa na ushindi kwa Putin.
 
Back
Top Bottom