Joshua Mbezi
JF-Expert Member
- Oct 18, 2024
- 1,994
- 4,446
Mwambie raia wako mbele ya muda😀Watu tunajua mpaka mipango ya Siri ya CIA halafu uliza tupo wapi
Ni hapo Mabibo tumepoa
Unataka awavulie na nini kingine sasa? Maana yeye amechagua kuvua kofia tu na ameshavuaMkuu wavulie na vinginevyo sio kofia pekee🤣
Hii sio mchezo ndio nimeisikia leo kutoka kwakoWatu tunajua mpaka mipango ya Siri ya CIA halafu uliza tupo wapi
Ni hapo Mabibo tumepoa
Tena kweli umenikumbusha Kuna mwamba alikuja na Uzi humu akichambua jinsi CIA inavyoweza kumtoa Rais yeyote madarakan 😂Watu tunajua mpaka mipango ya Siri ya CIA halafu uliza tupo wapi
Ni hapo Mabibo tumepoa
JF ya siku hizi imejaa wapumbavu wengi, wengi sana. Tuliza kichwa utagundua. Nyuzi nyingi bora ni zile zilizoletwa kipindi cha nyuma na ndizo zinasurvive.Ndani ya Jukwaa hili Kuna watu wengi tu ambao wao kila Uzi unaoanzishwa Lazima atie neno tu haijalishi Uzi huo ni wa _
Diplomatic
Politics
Business
Relationship
Sports and game
Harakati
Utan
Uchunguzi nk
Wengine ata mawazo yao sio ya kujenga lakini lazma aoneshe kuwa alikuwepo ata kwa kuandika tusi tu😂
Tena wengine wanaenda mbali zaid akipitia Uzi fulan lazma amtagg mwenzake hiv huwa mnakuaga na maana gan?
Wengine wanachambua Hadi nyuzi zisizo chambulika hii yote ni kuonesha kuwa alikuwepo Jukwaan
Aisee nyie watu nimewavulia kofia 😂
Ushawaza sambusa mkuuUnataka awavulie na nini kingine sasa? Maana yeye amechagua kuvua kofia tu na ameshavua
Nakazia kabisa hadi naishiwa nguvuKati ya members 10 wa JF, 9 ni wawendawazimu
Sio kweli.Kujiunga tu JF lazima uwe timamu kichwan