Red black
JF-Expert Member
- Nov 29, 2019
- 18,719
- 60,636
Kwaio mtu akiwa mbele ya muda ni mwendawazimu?Kati ya members 10 wa JF, 9 ni wawendawazimu

Na wewe ukiwemo 😹Kati ya members 10 wa JF, 9 ni wawendawazimu
.......and 1000 othersNdani ya Jukwaa hili Kuna watu wengi tu ambao wao kila Uzi unaoanzishwa Lazima atie neno tu haijalishi Uzi huo ni wa _
Diplomatic
Politics
Business
Relationship
Sports and game
Harakati
Utan
Uchunguzi nk
Wengine ata mawazo yao sio ya kujenga lakini lazma aoneshe kuwa alikuwepo ata kwa kuandika tusi tu😂
Tena wengine wanaenda mbali zaid akipitia Uzi fulan lazma amtagg mwenzake hiv huwa mnakuaga na maana gan?
Wengine wanachambua Hadi nyuzi zisizo chambulika hii yote ni kuonesha kuwa alikuwepo Jukwaan
Aisee nyie watu nimewavulia kofia 😂
NDIO.Na wewe ukiwemo 😹
Mbele ya muda ni wapi huko?Kwaio mtu akiwa mbele ya muda ni mwendawazimu?
Ukiwa na IQ hata ya 70 and a little exposure huwezi kukosa ABC za mada mbalimbali. Yaani ukiwa na general knowledge tu mijadala mingi unaweza kuchangia.Ndani ya Jukwaa hili Kuna watu wengi tu ambao wao kila Uzi unaoanzishwa Lazima atie neno tu haijalishi Uzi huo ni wa _
Diplomatic
Politics
Business
Relationship
Sports and game
Harakati
Utan
Uchunguzi nk
Wengine ata mawazo yao sio ya kujenga lakini lazma aoneshe kuwa alikuwepo ata kwa kuandika tusi tu😂
Tena wengine wanaenda mbali zaid akipitia Uzi fulan lazma amtagg mwenzake hiv huwa mnakuaga na maana gan?
Wengine wanachambua Hadi nyuzi zisizo chambulika hii yote ni kuonesha kuwa alikuwepo Jukwaan
Aisee nyie watu nimewavulia kofia 😂
Duniani watu hatufanani kaka uwezo wa kuishi nao ndo smartness yenyewe na siyo akili zq darasaniNdani ya Jukwaa hili Kuna watu wengi tu ambao wao kila Uzi unaoanzishwa Lazima atie neno tu haijalishi Uzi huo ni wa _
Diplomatic
Politics
Business
Relationship
Sports and game
Harakati
Utan
Uchunguzi nk
Wengine ata mawazo yao sio ya kujenga lakini lazma aoneshe kuwa alikuwepo ata kwa kuandika tusi tu😂
Tena wengine wanaenda mbali zaid akipitia Uzi fulan lazma amtagg mwenzake hiv huwa mnakuaga na maana gan?
Wengine wanachambua Hadi nyuzi zisizo chambulika hii yote ni kuonesha kuwa alikuwepo Jukwaan
Aisee nyie watu nimewavulia kofia 😂
Sasa humu kuna mada gn ngumu za kuumiza kichwa?Ukiwa na IQ hata ya 70 and a little exposure huwezi kukosa ABC za mada mbalimbali. Yaani ukiwa na general knowledge tu mijadala mingi unaweza kuchangia.
Umechelewa sana kufahamu, ulikuwa jela?Ndani ya Jukwaa hili Kuna watu wengi tu ambao wao kila Uzi unaoanzishwa Lazima atie neno tu haijalishi Uzi huo ni wa _
Diplomatic
Politics
Business
Relationship
Sports and game
Harakati
Utan
Uchunguzi nk
Wengine ata mawazo yao sio ya kujenga lakini lazma aoneshe kuwa alikuwepo ata kwa kuandika tusi tu😂
Tena wengine wanaenda mbali zaid akipitia Uzi fulan lazma amtagg mwenzake hiv huwa mnakuaga na maana gan?
Wengine wanachambua Hadi nyuzi zisizo chambulika hii yote ni kuonesha kuwa alikuwepo Jukwaan
Aisee nyie watu nimewavulia kofia 😂
Mkuu secondary tumesoma masomo 10 zahidi,kwa miaka 4 unategemea nn hapo silazima uwe mkamalia mbobevu mno.Ndani ya Jukwaa hili Kuna watu wengi tu ambao wao kila Uzi unaoanzishwa Lazima atie neno tu haijalishi Uzi huo ni wa _
Diplomatic
Politics
Business
Relationship
Sports and game
Harakati
Utan
Uchunguzi nk
Wengine ata mawazo yao sio ya kujenga lakini lazma aoneshe kuwa alikuwepo ata kwa kuandika tusi tu😂
Tena wengine wanaenda mbali zaid akipitia Uzi fulan lazma amtagg mwenzake hiv huwa mnakuaga na maana gan?
Wengine wanachambua Hadi nyuzi zisizo chambulika hii yote ni kuonesha kuwa alikuwepo Jukwaan
Aisee nyie watu nimewavulia kofia 😂
Nakubari. SaluteMkuu secondary tumesoma masomo 10 zahidi,kwa miaka 4 unategemea nn hapo silazima uwe mkamalia mbobevu mno.
Kuna sehemu nimeandika kuhusu mada ngumu za kuumiza kichwa?Sasa humu kuna mada gn ngumu za kuumiza kichwa?
Yn hata hy general knowledge utatumia kwenye 5% za mada zote JF mzima mana 95% za mada Humu n mashudu tuu.
Kwa lipi hasa la ajabu?Kujiunga tu JF lazima uwe timamu kichwan