P PERAMIHO YETU JF-Expert Member Joined May 25, 2018 Posts 6,288 Reaction score 17,333 Jun 10, 2026 #41 Jana kwa mara ya kwanza nimekutana na bibi wa miaka 65+ akiperuz jf yupo jukwaa la siasa nikasema jf imebeba WATU weng sana Tusitukane SANA wengine n bibi zetu wanajua mengi ya nchi hii
Jana kwa mara ya kwanza nimekutana na bibi wa miaka 65+ akiperuz jf yupo jukwaa la siasa nikasema jf imebeba WATU weng sana Tusitukane SANA wengine n bibi zetu wanajua mengi ya nchi hii
geesten66 JF-Expert Member Joined Sep 14, 2017 Posts 2,328 Reaction score 2,960 Jun 10, 2026 #42 Watu makini wapo unawakuta kwenye post maarumu. Kama kama wakina Malcom, Pasckal nk. Na mimi