Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 94,296
- 122,540
Nchi inayoongozwa na viongozi wajinga itawezaje kujiondoa katika lindi la ujinga?Inasikitisha sana mkuu
Chawa ni mdudu?Lipi ni lipi hapo?
Tuna watawala wenye akili ndogo sana, ni zaidi ya ugonjwa wa akili.Huenda wale watu wa zama za mawe wakawa bora zaidi kuliko viumbe tulivyo navyo hapa bongoland...kwa nchi za wenzetu kauli kama hiyo kesho unakabidhi ofisi...
Hmm….wengine nahisi hawaijui kabisa katiba na hata kuisoma nahisi pia hawajawahi!Siyo kwamba hawajui ukweli, wanatumia tu kila fursa kufanya uchawa ili kutetea matumbo yao
Sio, labda zamani. Kwani Lucas mwashambwa mdudu?Chawa ni mdudu?View attachment 2927477
Sio, labda zamani. Kwani Lucas mwashambwa mdudu?Chawa ni mdudu?View attachment 2927477
Facts!Ndio maana miaka 60+ya Uhuru tumeshindwa kusolve hata tatizo la maji na umeme.!!
Position nyingi zimeshikwa na watu ambao uwezo wao kuongoza ni mdogo mno
Kiufupi hatuna viongozi tuna watawala wenye mawazo ya kikoloni bado.
Siku nchi hii ikipata kiongozi ndio mtajua kwamba wote waliopita walikuwa madishi tu.
Watz wengi Elimu yao ni mbovu mno mtu anasema Pesa za rais zimekuja halafu kuna watu na mindevu yao inapiga makofi.Unapoona viongozi wa nchi wanatoa kauli kama ‘Rais Samia ameruhusu maandamano’ au ‘Rais Samia ameruhusu vyama vya upinzani vifanye mikutano ya kisiasa’, wewe Mtanzania uliye mwerevu na uliye na ufahamu wa msingi wa elimu ya uraia, unajisikiaje? Unaonaje?
Huoni kwamba, ama tunaongozwa na viongozi wajinga wasio na ufahamu hata ule wa msingi tu wa elimu ya uraia na jinsi ambavyo nchi inapaswa kuongozwa kwa kufuata katiba ya nchi, au, tunaongozwa na viongozi wasiojali kabisa kufuata katiba ya nchi na sheria zingine za nchi?
Lipi ni lipi hapo?
This country is a hot steaming mess!
Pesa za walipa kodi zinaitwa pesa za rais!Watz wengi Elimu yao ni mbovu mno mtu anasema Pesa za rais zimekuja halafu kuna watu na mindevu yao inapiga makofi.
Elimu,,,,Elimu,,,,Elimu,,,Elimu,,,,,Elimu.
Huoni kwamba, ama tunaongozwa na viongozi wajinga