Yawezekana kabisa Tanzania inaongozwa na watu ambao hawajawahi kabisa hata kuisoma kabisa!

Jokate, kilivhomfikisha hapo siyo uwezo wa kiakili ama kiuongozi. Huyu anabebwa na mambo 2:-
1. Jenista Mhagama ni shangazi yake.
2. She has a river of joy between her legs which impressed many many big fishes.
Point number 2 strongly hold water-until further notice!
 
Moja ya vitu ambavyo sitovisahau toka kwa marehemu Lemutuz ni msemo wake wa “viongozi wetu ni reflection yetu sisi wenyewe wananchi”.

[emoji817]%.
Hata Rais wa Zambia Hichilema kasha wahi sema kwamba,Kuna mambo yakiwa hovyo,watu wanapeleka lawama kwa washauri wa Rais na kumuacha Rais mwenyewe kama innocent mwisho akaweka hitimisho kwamba hao washauri wa Rais ni "Reflection" ya Rais mwenyewe.
 
Unapoona viongozi wa nchi wanatoa kauli kama ‘Rais Samia ameruhusu maandamano’ au ‘Rais Samia ameruhusu vyama vya upinzani vifanye mikutano ya kisiasa’, wewe Mtanzania uliye mwerevu na uliye na ufahamu wa msingi wa elimu ya uraia, unajisikiaje? Unaonaje?

Huoni kwamba, ama tunaongozwa na viongozi wajinga wasio na ufahamu hata ule wa msingi tu wa elimu ya uraia na jinsi ambavyo nchi inapaswa kuongozwa kwa kufuata katiba ya nchi, au, tunaongozwa na viongozi wasiojali kabisa kufuata katiba ya nchi na sheria zingine za nchi?

Lipi ni lipi hapo?

This country is a hot steaming mess!
Inawezekana wana point maana vyote hivyo vilizuiwa na aliyemtangulia. Sasa yeye kaondoa zuio hilo. Wanapokosea ni kutaka tumshukuru na kumpogeza kwa kufanya hilo. Wanakosea kwa sababu zuio lilikiuka Katiba na alichofanya ni kuheshimu Katiba.

Amandla...
 
Unapoona viongozi wa nchi wanatoa kauli kama ‘Rais Samia ameruhusu maandamano’ au ‘Rais Samia ameruhusu vyama vya upinzani vifanye mikutano ya kisiasa’, wewe Mtanzania uliye mwerevu na uliye na ufahamu wa msingi wa elimu ya uraia, unajisikiaje? Unaonaje?

Huoni kwamba, ama tunaongozwa na viongozi wajinga wasio na ufahamu hata ule wa msingi tu wa elimu ya uraia na jinsi ambavyo nchi inapaswa kuongozwa kwa kufuata katiba ya nchi, au, tunaongozwa na viongozi wasiojali kabisa kufuata katiba ya nchi na sheria zingine za nchi?

Lipi ni lipi hapo?

This country is a hot steaming mess!
waafrica wote saizi wanagombania uongozi ni kwasababu viongozi wameshindwa kuongoza nchi na mifumo! badala yake kila kitu hakilipi isipokua siasa
 
Unapoona viongozi wa nchi wanatoa kauli kama ‘Rais Samia ameruhusu maandamano’ au ‘Rais Samia ameruhusu vyama vya upinzani vifanye mikutano ya kisiasa’, wewe Mtanzania uliye mwerevu na uliye na ufahamu wa msingi wa elimu ya uraia, unajisikiaje? Unaonaje?

Huoni kwamba, ama tunaongozwa na viongozi wajinga wasio na ufahamu hata ule wa msingi tu wa elimu ya uraia na jinsi ambavyo nchi inapaswa kuongozwa kwa kufuata katiba ya nchi, au, tunaongozwa na viongozi wasiojali kabisa kufuata katiba ya nchi na sheria zingine za nchi?

Lipi ni lipi hapo?

This country is a hot steaming mess!
Uliyasema haya enzi za Bhagosha mwenzio?
 
Inawezekana wana point maana vyote hivyo vilizuiwa na aliyemtangulia.
Kama wana pointi basi hawajui namna ya kuielezea hiyo pointi yao au si ajabu hawajui hata wanachokiongelea!

Ikumbukwe pia kwamba hata huyu Rais wa sasa naye aliendeleza hiyo marufuku ya mikutano ya vyama vya siasa kwa kisingizio cha kutaka kwanza kuushughulikia uchumi.

Walimzushia na kumbambikia Freeman Mbowe kesi ya ugaidi. Tusilisahau na hilo.

Sasa yeye kaondoa zuio hilo.

Labda ni suala la semantics….hivi kaliondoaje hilo zuio wakati hakuwa hata na mamlaka ya kuliweka?

If anything, yeye na mtangulizi wake walivunja katiba lakini kwa vile tupo vile tulivyo, hakuna aliyethubutu kumgomea na kumweleza kuwa ame/walivunja katiba.

Katika hali ya kawaida ya jamii inayojielewa, vyombo vya dola vinapaswa kugoma kutekeleza amri zisizo halali.

Rais Biden au Waziri Mkuu Sunak hawawezi tu kuamka leo na kuagiza kwamba vyama vya upinzani kwenye nchi zao ni marufuku kufanya shughuli za kisiasa kisa tu eti chaguzi zimemalizika.

Kabla mashauri hayajafika hata mahakamani, si ajabu vyama vyao kwanza vikawawajibisha vyenyewe kabla ya kufika kwenye hatua zinginezo.
Wanapokosea ni kutaka tumshukuru na kumpogeza kwa kufanya hilo. Wanakosea kwa sababu zuio lilikiuka Katiba na alichofanya ni kuheshimu Katiba.

Amandla...
At the bare minimum, Rais anapaswa kuiheshimu katiba.

Hapaswi kupongezwa na kushukuriwa kwa kufanya the bare minimum.

Nadhani kwenye kiapo cha urais huwa wanaapa kwamba watailinda, wataitetea, na wataiheshimu katiba ya nchi.

Kutokuisigina katiba ya nchi ni takwa la msingi .
Machawa sidhani kama wanalijua hilo!

Rais Samia hajaruhusu maandamano ya vyama vya siasa.

Katiba ya nchi ndo inaruhusu hayo.

Machawa ni wajinga [igoramuses] tu.

Hivi siku Rais Samia akiamua kwamba kuanzia sasa ni marufuku watu kuamini dini/ imani wanazotaka wao, na kwamba ni marufuku kwa watu kwenda kwenye nyumba za ibada [haki ya kuamini imani yoyote ile ya kidini nayo ni haki ya kikatiba kwa mujibu wa ibara ya 19], halafu baada ya miaka miwili akaliondoa zuio hilo, napo atapongezwa kwa kuwaruhusu watu kuamini imani zozote zile za kidini wazitakazo?
 
Niki mparaphrase Malcolm X " unanichoma kisu mgongoni kinaingia nchi 9, halafu unataka nikupongeze ukikitoa kwa nchi 6! Hata ukikitoa kabisa haustahili pongezi. Nitaweza kupongeza utakapo ponya jeraha lililoachwa na kile kisu. Cha ajabu unataka nikupongeze wakati hata haukubali kuwa umenichoma kisu!".

Uko sahihi kabisa kuwa utawala wao ulivunja Katiba na walistahili kukiri hilo kwanza na kukubali mabaliko katika Katiba yatakayozuia kitu kama hicho kurudiwa tena.

Katika nchi inayojielewa media ingesimama kidete kuuambia umma kuwa hapo Katiba imevunjwa. Sunak anajaribu ku limit maandamano lakini media pamoja na wapinzani wanamwambia wazi kuwa hana haki hiyo. Jaribio lake la kupeleka wakimbizi Rwanda halijafanikiwa kwa sababu media, Mahakama, wapinzani na Bunge ( House of Lords) kusema bayana kuwa anavunja sheria. Hapa kwetu sehemu zote hizo zimejaa chawa na wao ama wanakaa kimya au mbaya zaidi wanapongeza Katiba ikivunjwa.

Kitendo cha kumweka ndani Mbowe ( pamoja na wale wakina mama waliokuwa wanaandamana ( Mwakipesile, Ruge, n.k.)kutaka aachiwe. Pamoja na watu kama Sanga kimetia doa kubwa sana utawala huu. Tusisahau kuwa mpaka sasa hivi hawajakiri kuwa hawakuwatendea haki. Cynically wanataka washukuriwe kwa kuwaachia huru.

Kinachonisikitisha zaidi ni kuwa wengi wa wale waliohusika katika utekelezaji wa uvunjaji huu wa Katiba bado wapo pale pale.
Leo Kinana anatuhakikishia kuwa uchaguzi utakuwa tofauti na wa 2019 na 2020 wakati yule Mkurugenzi aliyesimamia uchafuzi wa uchaguzi wa 2020 (na kutuambia kuwa hatutaki bra bra) kapandishwa cheo na sasa atasimamia uchaguzi wa 2024!

Mimi nadhani yale tulio yaona 2019 hayatarudiwa kwa level ile bali matokeo yatakuwa yale yale. Tofauti ni kuwa watajisahihisha na wapinzani watapata nafasi nyingi zaidi, just enough kuwaingiza tamaa.

Amandla...
 
Ehno2NgWsAA8X9J.jpeg
 
Unapoona viongozi wa nchi wanatoa kauli kama ‘Rais Samia ameruhusu maandamano’ au ‘Rais Samia ameruhusu vyama vya upinzani vifanye mikutano ya kisiasa’, wewe Mtanzania uliye mwerevu na uliye na ufahamu wa msingi wa elimu ya uraia, unajisikiaje? Unaonaje?

Huoni kwamba, ama tunaongozwa na viongozi wajinga wasio na ufahamu hata ule wa msingi tu wa elimu ya uraia na jinsi ambavyo nchi inapaswa kuongozwa kwa kufuata katiba ya nchi, au, tunaongozwa na viongozi wasiojali kabisa kufuata katiba ya nchi na sheria zingine za nchi?

Lipi ni lipi hapo?

This country is a hot steaming mess!
Inasikitisha kwa kweli.
 
Tunatokaje hapo? Raia wajinga ni lazima waongozwe na viongozi wajinga, wakati ule kina Sir Teophil Georges wanamsisitiza mwalimu kuhakikisha Utawala wa sheria, kina Kasela bantu n. K yeye aliwapiga kumbo badala yake akaweka udini mbele instead of uzalendo a kaanza kuengue hata zile brains na talent ambazo Mkoloni alitusaidia kuzigroom ili zije kuiendeleza Tanganyika huru yeye akaja na msalaba wa Azimio kisha CCM, wakapora mali, wakavuruga elimu wakawaacha wa Tanganyika na ujinga, Humphrey pole pole akinukuliwa akiwatweza waTanganyika wenzake kwa kujisifu kutembelea V8 kwa mwenyeviti wa chama huko matawini hali ya kuwa waTanganyika wako na njaa kali kichwani na Tumboni, kwa namna hiyo usitaraji kupata brain ikakuongoza na kuenzi utawala wa sheria, hii nimeruhusu, nimekataza, nimeridhia ni wimbi wa kifalme wala Mkoloni hakuishi pia
 
Back
Top Bottom