Mama Naa
JF-Expert Member
- Aug 31, 2020
- 453
- 1,104
Pesa za walipa Kodi ambao hata Milo miwili inawapiga chenga.Pesa za walipa kodi zinaitwa pesa za rais!
There’s no light at the end of the tunnel, so long as CCM remains in power.
Nchi hii haiendelei Kwa mambo mengi sana wachumia tumbo nao ndio wanalimaliza kabisa Taifa.
Hakuna usawa wala haki ila UCHAWA tu.