Yawezekana kabisa Tanzania inaongozwa na watu ambao hawajawahi kabisa hata kuisoma kabisa!

Yawezekana kabisa Tanzania inaongozwa na watu ambao hawajawahi kabisa hata kuisoma kabisa!

Pesa za walipa kodi zinaitwa pesa za rais!

There’s no light at the end of the tunnel, so long as CCM remains in power.
Pesa za walipa Kodi ambao hata Milo miwili inawapiga chenga.

Nchi hii haiendelei Kwa mambo mengi sana wachumia tumbo nao ndio wanalimaliza kabisa Taifa.

Hakuna usawa wala haki ila UCHAWA tu.
 
Jokate, kilichomfikisha hapo siyo uwezo wa kiakili ama kiuongozi. Huyu anabebwa na mambo 2:-
1. Jenista Mhagama ni shangazi yake.
2. She has a river of joy between her legs which impresses many many big fishes.
 
Unapoona viongozi wa nchi wanatoa kauli kama ‘Rais Samia ameruhusu maandamano’ au ‘Rais Samia ameruhusu vyama vya upinzani vifanye mikutano ya kisiasa’, wewe Mtanzania uliye mwerevu na uliye na ufahamu wa msingi wa elimu ya uraia, unajisikiaje? Unaonaje?

Huoni kwamba, ama tunaongozwa na viongozi wajinga wasio na ufahamu hata ule wa msingi tu wa elimu ya uraia na jinsi ambavyo nchi inapaswa kuongozwa kwa kufuata katiba ya nchi, au, tunaongozwa na viongozi wasiojali kabisa kufuata katiba ya nchi na sheria zingine za nchi?

Lipi ni lipi hapo?

This country is a hot steaming mess!
While donor countries and international development agencies tend, in general, to focus on the “problems” such as deficiencies in governance, dictatorships, corruption, conflicts, and insecurity of multi ethnic societies, the political realities of individual my Country politicians, each of which has its own unique of making a chair personnel happy
 
Somo la urai lilipigwa vita sana na BWM (rip) kama hujui muulize Tibaijuka na NGO yaje ya bawata waliofuata wamevaa viatu vya huyo huyo. . Sasa mtindo wa chawa umeanzishwa na mwenyekigoda na chawa wenyewe hawajui kwa nn ni chawa ila wanaona fahari kujitambulisha kuwa ni chawa .shuleni ukiwa na chawa unapigwa saana na wanafunzi wanakutenga. Huku uraiani tunawakumbatia. Kosa la nani
 
Unapoona viongozi wa nchi wanatoa kauli kama ‘Rais Samia ameruhusu maandamano’ au ‘Rais Samia ameruhusu vyama vya upinzani vifanye mikutano ya kisiasa’, wewe Mtanzania uliye mwerevu na uliye na ufahamu wa msingi wa elimu ya uraia, unajisikiaje? Unaonaje?

Huoni kwamba, ama tunaongozwa na viongozi wajinga wasio na ufahamu hata ule wa msingi tu wa elimu ya uraia na jinsi ambavyo nchi inapaswa kuongozwa kwa kufuata katiba ya nchi, au, tunaongozwa na viongozi wasiojali kabisa kufuata katiba ya nchi na sheria zingine za nchi?

Lipi ni lipi hapo?

This country is a hot steaming mess!
Tulia ilevi ikuishe ndio uje uandike
 
Ndiyo
Ni sahihi kusema Raisi ameruhusu maandamano
Miaka michache iliyopita pia ilikuwa Raisi amepiga marufuku maandamano na mikutano ya siasa na alishangiliwa ikiwemo pamoja na wewe.
 
Msingi mkuu wa kupata cheo na ulaji Tanzania ni kuwa. Actually Jokate anapalilia Tumbo lake.
 
Nchi inayoongozwa na viongozi wajinga itawezaje kujiondoa katika lindi la ujinga?
Hao so called viongozi wajinga ni reflection ya jamii wanayotoka( na jamii nayo ni wajinga). Lazima jamii iache ku normalize kumpa mtu madaraka kwa ahadi hewa, ushamba ukisha futika na viongozi watakuwa serious maana watajua wananchi hawadanganyiki anymore
 
Moja ya vitu ambavyo sitovisahau toka kwa marehemu Lemutuz ni msemo wake wa “viongozi wetu ni reflection yetu sisi wenyewe wananchi”.

💯%.
 
Unapoona viongozi wa nchi wanatoa kauli kama ‘Rais Samia ameruhusu maandamano’ au ‘Rais Samia ameruhusu vyama vya upinzani vifanye mikutano ya kisiasa’, wewe Mtanzania uliye mwerevu na uliye na ufahamu wa msingi wa elimu ya uraia, unajisikiaje? Unaonaje?

Huoni kwamba, ama tunaongozwa na viongozi wajinga wasio na ufahamu hata ule wa msingi tu wa elimu ya uraia na jinsi ambavyo nchi inapaswa kuongozwa kwa kufuata katiba ya nchi, au, tunaongozwa na viongozi wasiojali kabisa kufuata katiba ya nchi na sheria zingine za nchi?

Lipi ni lipi hapo?

This country is a hot steaming mess!
Siasa zetu ni za kufuata mkumbo kama nyumbu wa Serengeti. Kiongozi akielekea kwenye mto wenye mamba au mkondo kasi yote hufuata.
Maneno yote hukaririwa yale yale kama majuha fulani hivi, huwezi kutofautisha msomi na asiyejua shule, wote ni sawa. Wakati mwingine darasa la saba (mfano Kishimba na Msukuma) wanaweza kutoa hoja zenye mantiki kuliko tunaowaita wasomi wa vyuo vikuu.
Wakati mwingine unaweza kumuomba Mungu asafishe hiki kizazi kije kipya.
Wapumbavu ni wengi mno kuliko wenye akili katika jamii na taifa.
Sehemu hiyo hiyo ya wapumbavu huingia kwenye uongozi.
 
Ndio maana miaka 60+ya Uhuru tumeshindwa kusolve hata tatizo la maji na umeme.!!

Position nyingi zimeshikwa na watu ambao uwezo wao kuongoza ni mdogo mno

Kiufupi hatuna viongozi tuna watawala wenye mawazo ya kikoloni bado.

Siku nchi hii ikipata kiongozi ndio mtajua kwamba wote waliopita walikuwa madishi tu.
Kuna Mwana falsafa uko Lindi Bashungwa kamkuta anasimamia masuala ya ujenzi wa Barabara na madaraja!!
Nchi ngumu sana hii!!
 
Mojawapo ya sifa ya mtu awe kiongozi anabidi apewe interview inayohusiana na mambo yaliyoandikwa katika katiba labda itasaidia .. maana viongozi wengi inaonekana hawasemi katiba
Mama Kizimkazi anasema katiba ni kijitabu tu!
 
Back
Top Bottom