Joshua Mbezi
JF-Expert Member
- Oct 18, 2024
- 1,994
- 4,446
Katika siku zangu hapa Tanzania nimefanikiwa kuishi mikoa ifuatayo
Dar
Morogoro
Iringa
Mbeya
Njombe
Kagera
Manyara
Mwanza
Lakini katka mikoa hyo sikuona mambo makubwa ya kufurahia mpaka nilipofika mkoa wa Kilimanjaro
Aisee huu mkoa n mzuri hali ya hewa yake n nzuri , uchumi mzuri warembo kama wote tena wenye sura nyeupe uhakika wa chakula upo tena kwa bei ya kawaida kbc
Wachaga mmejitahidi kuijenga Kilimanjaro yenu nawapongeza sana , ila wapare wa kule same ,mwanga, kilangare, hedaru ndo bado wanawaangusha
Nb ; mpunguze ulevi😅