Joshua Mbezi
JF-Expert Member
- Oct 18, 2024
- 1,994
- 4,446
- Thread starter
- #21
Hapana tarime sijafikaUnapajua tarime?
Mkuu
Hapana tarime sijafikaUnapajua tarime?
Mbeya kuna vumbi , somalia haioni ndaniMbeya vp?njombe ulikuonaje? mbeya ni unyama sana nilipapenda.Dsm haina mpinzani kwa fursa za kiuchumi
Ila chakula kipo cha kutosha na gharama za maisha zipo chiniMbeya kuna vumbi , somalia haioni ndani
Yah! Ichunguze Kilimanjaro vizuri, inastaili sifa zaidi ya hizi ChacheKatika siku zangu hapa Tanzania nimefanikiwa kuishi mikoa ifuatayo
Dar
Morogoro
Iringa
Mbeya
Njombe
Kagera
Manyara
Mwanza
Lakini katka mikoa hyo sikuona mambo makubwa ya kufurahia mpaka nilipofika mkoa wa Kilimanjaro
Aisee huu mkoa n mzuri hali ya hewa yake n nzuri , uchumi mzuri warembo kama wote tena wenye sura nyeupe uhakika wa chakula upo tena kwa bei ya kawaida kbc
Wachaga mmejitahidi kuijenga Kilimanjaro yenu nawapongeza sana , ila wapare wa kule same ,mwanga, kilangare, hedaru ndo bado wanawaangusha
Nb ; mpunguze ulevi😅
Hapo hamna lolote pa kishamba tu nimekaa sana hapo tarime mjini,any way, bado boss wenu zakaria au kashaibuka mwengine?Unapajua tarime?
Jf bana 😂 😂 😂Wewe kila mtu huwa anaishi kwa shemeji tena sebuleni. Sijui shemeji yako alikufanya nini hapo sebuleni kwake.