Joshua Mbezi
JF-Expert Member
- Oct 18, 2024
- 1,994
- 4,446
Mimi ninaangalia sehemu zenye fursa kiuchumi, mimi ni mchaga ila Dar ndiyo sehemu yangu nzuri kiuchumi.Katika siku zangu hapa Tanzania nimefanikiwa kuishi mikoa ifuatayo
Dar
Morogoro
Iringa
Mbeya
Njombe
Kagera
Manyara
Mwanza
Lakini katka mikoa hyo sikuona mambo makubwa ya kufurahia mpaka nilipofika mkoa wa Kilimanjaro
Aisee huu mkoa n mzuri hali ya hewa yake n nzuri , uchumi mzuri warembo kama wote tena wenye sura nyeupe uhakika wa chakula upo tena kwa bei ya kawaida kbc
Wachaga mmejitahidi kuijenga Kilimanjaro yenu nawapongeza sana , ila wapare wa kule same ,mwanga, kilangare, hedaru ndo bado wanawaangusha
Nb ; mpunguze ulevi😅
We mzee wewe Nan wa kuishi kwa shemeji 🤣Unaishi kwa shemej ndo maana unaona uko ndo pazur, tafuta pesa hata Yemen na Syria ni pazur
Wewe kila mtu huwa anaishi kwa shemeji tena sebuleni. Sijui shemeji yako alikufanya nini hapo sebuleni kwake.Unaishi kwa shemej ndo maana unaona uko ndo pazur, tafuta pesa hata Yemen na Syria ni pazur
It's true dar kwenye fursa za kiuchumi hatuwezi kuilinganisha na sehemu yoyote Tz lknMimi ninaangalia sehemu zenye fursa kiuchumi, mimi ni mchaga ila Dar ndiyo sehemu yangu nzuri kiuchumi.
Iringa kule n pakawaida sana labda fursa yake kubwa ipo kwa watu wanaoweza kilimo na biashara za mazao ya misitu maeneo kama mufindi, mafinga na kiloloiringa vp japo sijafika
Maeneo ya machame , pamoja na Tarakea huko nimeona warembo aiseeDaah, we jamaa umeishi kilimanjalo ipi, yenye mademu wazuri? Iliyojengeka?
Hyu kipind akiwa mdogo yawezekana wazazi wake walimtelekeza kwa shemeji yake kwahy akipitia msoto mkali ambao hajawahi kuusahau mpake Leo hiiWewe kila mtu huwa anaishi kwa shemeji tena sebuleni. Sijui shemeji yako alikufanya nini hapo sebuleni kwake.
Ndiyo maana, nikajua umezunguka macrame, hai, siha, mwika, kikuwa nk. Kumbe ni hizo sehemu mbili. Anyway hali ya hewa ni nzuri kama Tukuyu mbeya. Hayo mengine ni ubatili 😁😁😁😁Maeneo ya machame , pamoja na Tarakea huko nimeona warembo aisee
HahahahaWewe kila mtu huwa anaishi kwa shemeji tena sebuleni. Sijui shemeji yako alikufanya nini hapo sebuleni kwake.
Bora kigoma kuliko Iringa.iringa vp japo sijafika
Mbeya napo si haba ila njombe Amna kitu ukishatoka pale mjini na makambako panapobaki ni miyeyusho tuMbeya vp?njombe ulikuonaje? mbeya ni unyama sana nilipapenda.Dsm haina mpinzani kwa fursa za kiuchumi