Yawezekana siyo Gaidi au Jambazi, Silaha za kivita alijulia wapi?

Prof Koboko

JF-Expert Member
Joined
Aug 15, 2020
Posts
350
Reaction score
2,550
Sawa tukubaliane na ushuhuda wa majirani kuhusu kijana Hamza aliyeuawa na polisi baada ya yeye kuwaua polisi wawili na mlinzi moja, ukitazama tukio lilivyokuwa kupitia video zilizorekodiwa, utaona kuwa huyu bwana alikuwa na uwezo wa kutumia mashine gun au silaha nzito ya kivita, haya mafunzo aliyapata wapi?
  • Alipita JKT?
  • Alifunzwa Mgambo?
  • Wakati anafungwa kutumia pistol alifundishwa kutumia na silaha ziingine?
  • Kupitia picha mbali mbali zinazotumwa kupitia mitandao ya kijamii, inaonekana Hamza alikua kijana wa UVCCM, alikuwa kwenye kambi za ukakamavu za vijana akafunzwa huko?
Haiwezekani mtu hajawahi kushiriki vita yeyote from now where tu atumie silaha za kivita. Mbaya zaidi alionekana kushambulia na kukwepa mashambulizi ya askari halafu alikua shabaha.

Hamza alifunzwa na nani kutumia AK47?

Hili swali mpaka sasa halijapata jibu.
 
Mafunzo mgambo na ukimiliki silaha unafundishwa kuitumia kama mtu porini migodini ana silaha zaidi ya hiyo ndogo shortgun ni lazima pori kwa pori usichukulie poa wengi wanajua kuzitumia.....ukijua safe trigger na load mzigo
 
Haihitaji rocket science kufahamu hivyo vitu kwa dunia ya sasa. Ingia tu youtube utakutana na mambo yote wazi.

Pia baadhi ya video games zitakupa reality simulation jinsi ya kupambana na uzoefu unaupata unapochapa risasi kadhaa kama Bw. Hamza na kaubobezi kanazidi kuongezeka kadiri unavyoendelea kutumia kushuti kwa kurekebisha vijikosa vidogo vidogo.
 
Nilishutuka sana jinsi alivyofanya mark-timing kwa askari aliyejibanza ukuta wa lango la ubarozi.

Huyu jamaa kitendo cha kwenda kusoma dini huko Misri, lazima alipitia Muslim brotherhood na kufunzwa jinsi ya kuitukikia Jihad.
 
Ni rahisi sana kujua namna ya kutumia silaha hata kama ujapitia jeshini, ingia youtube utajua kila kitu. Polisi hwatumii AK 47 bali SMG. Kumbuka alikuwa na bastola kwa hiyo suala la target haikuwa issue
 
Mafunzo mgambo na ukimiliki silaha unafundishwa kuitumia....kama mtu porini migodini ana silaha zaidi ya hiyo ndogo shortgun ni lazima pori kwa pori ......usichukulie poa wengi wanajua kuzitumia.....ukijua safe trigger na load mzigo
Si rahisi ki hivyo! Kwanza kama si mtumiaji wa hiyo silaha, ikiunguruma mara moja unaweza kuitupa na kukimbia. Lazima alikuwa na mafunzo ya kutumia hiyo silaha. Huwezi kuwa na mafunzo ya kutumia pistol tu ukaweza kushambulia kwa SMG tena ukilenga shabaha na kupata shabaha yako! Angekuwa hana mafunzo basi hata kama asingeitupa chini baada ya risasi ya kwanza basi angeshambulia tu bila uelekeo. Kuna kitu nyuma ya haya mashambulizi.
 
Haihitaji rocket science kufahamu hivyo vitu kwa dunia ya sasa. Ingia tu youtube utakutana na mambo yote wazi.

Pia baadhi ya video games zitakupa reality simulation jinsi ya kupambana na uzoefu unaupata unapochapa risasi kadhaa kama Bw. Hamza na kaubobezi kanazidi kuongezeka kadiri unavyoendelea kutumia kushuti kwa kurekebisha vijikosa vidogo vidogo.
Acha wewe, SMG ya kwenye youtube siyo SMG halisi!
 
Sawa tukubaliane na ushuhuda wa majirani kuhusu kijana Hamza aliyeuawa na polisi baada ya yeye kuwaua polisi wawili na mlinzi moja, ukitazama tukio lilivyokuwa kupitia video zilizorekodiwa, utaona kuwa huyu bwana alikuwa na uwezo wa kutumia mashine gun au silaha nzito ya kivita, haya mafunzo aliyapata wapi?

-Alipita JKT?
-Alifunzwa Mgambo?
-Wakati anafungwa kutumia pistol alifundishwa kutumia na silaha ziingine?
-Kupitia picha mbali mbali zinazotumwa kupitia mitandao ya kijamii, inaonekana Hamza alikua kijana wa UVCCM, alikuwa kwenye kambi za ukakamavu za vijana akafunzwa huko?

Haiwezekani mtu hajawahi kushiriki vita yeyote from now where tu atumie silaha za kivita. Mbaya zaidi alionekana kushambulia na kukwepa mashambulizi ya askari halafu alikua shabaha

Hamza alifunzwa na nani kutumia AK47?

Hili swali mpaka sasa halijapata jibu.

Watu wanatofautiana viwango. Wewe unapoishia kujifunza kufahamu kutumia simu smart, wenzako wanataka kujua kutumia vitu sophisicated hata kurusha ndege japo hana.Ha Kufahamu kutumia silaha si kazi ngumu. Hata wewe ukiwa na wigo mpana wa maisha, unaweza ukajifunza siku moja ukaifungua, kuisafisha, ku reassemble na kuitumia hiyo AK47. Hilo ni swali kwa mwalimu wa shule za misingi wa bongo.
 
Si rahisi ki hivyo! Kwanza kama si mtumiaji wa hiyo silaha, ikiunguruma mara moja unaweza kuitupa na kukimbia. Lazima alikuwa na mafunzo ya kutumia hiyo silaha. Huwezi kuwa na mafunzo ya kutumia pistol tu ukaweza kushambulia kwa SMG tena ukilenga shabaha na kupata shabaha yako! Angekuwa hana mafunzo basi hata kama asingeitupa chini baada ya risasi ya kwanza basi angeshambulia tu bila uelekeo. Kuna kitu nyuma ya haya mashambulizi.
Nani alisema kuna kizuizi cha mtu kujifunza elimu ya silaha? NI wapi sheria za nchi zinazuia watu kufahamu matumizi ya silaha? Nani alikuambieni mafunzo ya kutumia sialha yatatolwe jkt tu? Sitaki kuamini kwamba watu wana general knowledge ya kiwango hiki.

Unaweza kuona namna gani watu wanaendesha magari hata kabla hajaenda kusomea lessseni?
Kwani wewe kutumia simu yako ya smart ulisomea wapi?
 
unamgombeza nani sasa
 
Simulation pamoja na mazoezi ya shabaha halisi unaweza kuwa pro.
 
SMG mbona simple tu kikubwa tu kujiamini, Kwa pale ilikuwa ni kukoki na kuweka jinsi unavyotaka risasi zitoke coz tayari magazine ilikuwepo kweny bunduki ila kwenye shabaha ndo inahitaji uzoefu na utulivu
 
Haihitaji rocket science kufahamu hivyo vitu kwa dunia ya sasa. Ingia tu youtube utakutana na mambo yote wazi.

Pia baadhi ya video games zitakupa reality simulation jinsi ya kupambana na uzoefu unaupata unapochapa risasi kadhaa kama Bw. Hamza na kaubobezi kanazidi kuongezeka kadiri unavyoendelea kutumia kushuti kwa kurekebisha vijikosa vidogo vidogo.
You are not serious!!!
 
Acha wewe, SMG ya kwenye youtube siyo SMG halisi!
Yan hili jukwaa lina watoto wananuka maziwa!!! Eti youtube hahaaaaa hahhaaa yani yeye anadhani real AK 47 ni sawa na video ya you tube!!! Hili taifa limejaa vichaa aisee
 
Nilishutuka sana jinsi alivyofanya mark-timing kwa askari aliyejibanza ukuta wa lango la ubarozi.

Huyu jamaa kitendo cha kwenda kusoma dini huko Misri, lazima alipitia Muslim brotherhood na kufunzwa jinsi ya kuitukikia Jihad.
Bila kuhusisha uislamu nafsi zenu haziridhiki kabisa.
 
Back
Top Bottom