sijawahi kwenda jeshi ila shabaha huwa naona kitu simple sanaSMG mbona simple tu kikubwa tu kujiamini, Kwa pale ilikuwa ni kukoki na kuweka jinsi unavyotaka risasi zitoke coz tayari magazine ilikuwepo kweny bunduki ila kwenye shabaha ndo inahitaji uzoefu na utulivu
Bila kuhusisha uislamu nafsi zenu haziridhiki kabisa.
Sawa tukubaliane na ushuhuda wa majirani kuhusu kijana Hamza aliyeuawa na polisi baada ya yeye kuwaua polisi wawili na mlinzi moja, ukitazama tukio lilivyokuwa kupitia video zilizorekodiwa, utaona kuwa huyu bwana alikuwa na uwezo wa kutumia mashine gun au silaha nzito ya kivita, haya mafunzo aliyapata wapi?
Haiwezekani mtu hajawahi kushiriki vita yeyote from now where tu atumie silaha za kivita. Mbaya zaidi alionekana kushambulia na kukwepa mashambulizi ya askari halafu alikua shabaha.
- Alipita JKT?
- Alifunzwa Mgambo?
- Wakati anafungwa kutumia pistol alifundishwa kutumia na silaha ziingine?
- Kupitia picha mbali mbali zinazotumwa kupitia mitandao ya kijamii, inaonekana Hamza alikua kijana wa UVCCM, alikuwa kwenye kambi za ukakamavu za vijana akafunzwa huko?
Hamza alifunzwa na nani kutumia AK47?
Hili swali mpaka sasa halijapata jibu.
hata mimi nimeshangaaunajiuliza alijifunzia wapi siraha mtoto wa kisomari
CCM ndo walimfundisha.. sipati picha angejulikana ni mwanachadema wa CHADEMA!!! Mungu mkubwa sana. Magaidi wanayo wenyeweSawa tukubaliane na ushuhuda wa majirani kuhusu kijana Hamza aliyeuawa na polisi baada ya yeye kuwaua polisi wawili na mlinzi moja, ukitazama tukio lilivyokuwa kupitia video zilizorekodiwa, utaona kuwa huyu bwana alikuwa na uwezo wa kutumia mashine gun au silaha nzito ya kivita, haya mafunzo aliyapata wapi?