StudentTeacher
JF-Expert Member
- Jan 30, 2019
- 7,043
- 8,478
Akili zangu za usiku wa kuamkia leo zimenituma kuwaza hivyo.
Yawezekana katabia ka kufanya udalali ndiko kalikokuwa kanazuia CHADEMA wasitangazwe washindi ngazi ya Rais hata kama ni kweli walikuwa wanashinda
Mabadiliko ya uongozi ndani ya CHADEMA yamenifanya nione tofauti na kuwaza hiki nilichokiwaza.
Ruksa kunikosoa kama dhana yangu haina uhalisia.