kagoshima
JF-Expert Member
- Dec 31, 2015
- 2,887
- 5,687
Wakati wa mwwshimiwa kikwete tuliaminishwa kwamba
1. Soon mgao wa umeme utakua historia. Akatoka madarakanai kaacha mgao unaendelea.
2. Tukaimbishwa nyimbo za uchumi wa gesi. Kiukweli wanasiasa Mungu anawaona. Ule wimbo ulikoishia anayeweza kuelezea serikali ya CCM.
3. Akaja Mweshimiwa JPM na ujemzi wa bwawa la umeme wa maji. Inaonyesha wazi maji kwenye mito yana tegemea mvua , ukame unaotokana na mabadiliko ya hali ya hewa unatia mashaka UA ufanisi wa kuzalisja umeme kupitia bwawa hill.
4. Vyombo vya usalama kuganya kazi za chama cha mapinduzi. Hili liko wazi , asilimia kubwa ya viongozi wandamizi wa idara ya usalama na polis ni makada wa CCM. hivyo mtazamo wao kuhusu taifa unapofushwa na mahaba yao kwa chama. Si rahisi wao kukunali kwamba mfumo productive wa vyama vingi ni ule unaoruhusu kubadilishana madaraka. Chama kikiboronga kikae pembeni , kingine kije, kimiboronga pia kikae pembeni nk. Hatueleweki tunafanya nini kwenye kila jambo.
Hatueleweki kama tunafuata mfumo wa chama kimoja au vyama vingi. Vyama pinzani vinapigwa vita na taasis zote nyeti zinazo ongozwa na makada wa ccm.
Hatueleweki kama kweli tunataka katiba mpya au hatuitaki,maana mchakato ulitupwa bila kujali billions of money zilizo tumika. Na serikali ya ccm wanaogopa hata kusikia neno katiba likitamkwa.
Hatueleweki tunafuata siasa ya ijamaa au ubepari. Jpm kwa juhudi kubwa akawa anaturudisha kwenye ujamaa akipata support kubwa kwa chama hikihiki ambacho sasa mwenyekiti wake anatirudisha kwenye ubepari. Ninini tunachotaka?
Mwingine anakuja anajenga uwanja wa ndege wa kimataifa wilayani kusiko chochote cha maana.
Wakati jumuhia ya ulaya wanapambana kila raia wa ulaya awe na maji safi yakuoga. Siye huku maji kunywa ni matope miaka 60 post independence CCM wakizubaisha raia kwa propaganda hii na ile.
Mambo ni mengi.
Tatizo nikwamba ccm iko exhausted. Bahati mbaya hata zile taasis zinazo angalia ustawi na usalama wa taifa zimekwama kwenye matope ya chama cha mapinduzi . hivyo kama taifa tumekwama.
Suruhisho ni moja. Turuhusu ushindani wakweli kwenye siasa. Kusiwepo chama hodhi wa siasa za inchi hii vinginevyo vizazi na vizazi visubiri hadi tufikie japo robo ya maendeleo ya ulaya.