Joshua Mbezi
JF-Expert Member
- Oct 18, 2024
- 1,994
- 4,446
Ukiangalia matukio yanayotokea kwenye nchi nyingi za kiafrika yanathibitisha kuwa sisi sio watu
Yawezekana sisi ndio wale sokwe waliokuwa wanakaribia kuwa binadamu lakini mchakato ukaishia njiani
Kwa kawaida wanasema binadamu ujifunza kutokana na makosa aliyoyafanya lakini kwa Africa ni tofauti kabisa ata wale waliowahi kupata makosa wanayarudia vile vile bila kuhurumia vizazi vijavyo
Dunia ina history ya watu makatili duniani wengi sana lakini zile nje za ulaya ,america Asia zilizowahi kutawaliwa na viongozi makatili zinaonesha zilijifunza na kuchukua hatua za kuthibiti hiyo hali isijirudie tena
Kwa mfano nchi iliyowahi kutawaliwa na akina Adolf Hitler baada ya kuangusha utawala wake wamechukua hatua za kuhakikisha utawala huo haurudi tena
Ila ukija Africa mijamaa ndo kwanza inakomaa kuendeleza utawala wa kibabe, mauaji, utekaji na nk
Ukitaka kuthibitisha Hilo angalia nchi kama DRC ya kina Mobutu seseko, Uganda ya akina Idd Amin, Rwanda ya akina Abyalima ana , Zimbabwe ya Akina Robert Mugabe, nk
Nchi zote hizo zimepitia utawala wa mkono wa chuma ila ata viongozi wao wa sasa hawaoneshi dalili ya kujuta Bali wanachofanya ni kile kile ya kuumiza wengine kwasababu ya tamaa ya madaraka
Na hali hiyo inaendelea kusambaa ata kwa majiran kuja kufikia mwaka 2045 Kuna uwezekano ¾ ya nchi za Africa zitakuwa na vita vya wenyewe kwa wenyewe kwasababu ya madaraka
Au Kuna uwezekano mkubwa Africa ikatawaliwa tena na wakolon kwasababu wanaona sisi tumeshindwa kujiongoza na tumekosa ustaarabu
Kwahy biashara ya utumwa inaweza kurudi kabisa