Joshua Mbezi
JF-Expert Member
- Oct 18, 2024
- 1,994
- 4,446
Nadhani sio kuzaliwa Africa ila DNA ya kiafrika au mtu mweusi ni laana. Angalia hata ambao wanazaliwa nje ya Afrika.Kuzaliwa Afrika kwa ujumla ni zaidi ya laana.
🦍.
Kwa Afrika nimesema ni zaidi ya laana Mkuu.Nadhani sio kuzaliwa Africa ila DNA ya kiafrika au mtu mweusi ni laana. Angalia hata ambao wanazaliwa nje ya Afrika.
Sasa huu kama sio uwendawazimu NiniMtu ananunua kiwanda cha sukari, wananchi wa eneo husika wanafurahi kuwa wamepata pa kuuzia miwa yao.. Kumbe jamaa ananunua sukari toka Brazil tena sukari yenyewe si ya matumizi ya moja moja kwa binadamu halafu kiwanda kinakuwa tu sehemu ya kupakia sukari na si kutengeneza tena,, wananchi njaa inawashika,,
Halafu katika hawa hawa wananchi wanaolia njaa mmoja wo anapewa vijihela anawashawishi wenzake wenye njaa wanampigia kura huyu aliyewatia njaa anakuwa mbunge wao...
Waafrika kweli si binadamu. ( KENYA )
Yawezekana ata aliye turoga akiona shida na mateso tunayopitia huwa anasikitika tenaIngawa mimi ni muafrika ila ukiangalia mambo yanayoendelea kwa mama Afrika ni ngumu kujitetea
Naunga hoja yako ila sio nyani ila sisi ni mapimbi tuliokosa akili na ustaarabu!
Muafrica hata akizaliwa ulaya bado hana akiliYawezekana ata aliye turoga akiona shida na mateso tunayopitia huwa anasikitika tena