johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Mbona viongozi wa TFF wote ni wanazi wa Simba lakini viwanja bado vinajaza?Yaani na kwenye Mpira ingekuwa timu moja ndo inachagua mkereketwa wake awe refa halafu Huyo refa kabla mechi haijaanza anawapiga kadi nyekundu wachezaji 7 wa timu shindani usingeona shabiki hata mmoja uwanjani bwasheee!
Wema yule wa CCM Singida?Wapinzani walijiua wenyewe 2015. Kosa kumtosa slaa na kumkumbatia lowassa bado wakawekeza nguvu kubwa kumkaribisha wema sepetu daah
Lipumba akamaliza kazi kujiuzulu na kurudi kwa nguvu
Kule kwenye wasanii na malori ya kubeba watu itakuwa nyomi tuuchaguzi wa mwaka 2015 ulikuwa game changer kwa voters, wengi hawana ari tena na mambo ya siasa, mwaka huu tutashuhudia mahudhurio hafifu across all political parties
Ushauri Kwa waandaaji wa Kampeni za CHADEMA
Binafsi nimeshangaa sana Lissu kutokuhudhuria Sherehe ya Yanga, na Lema kutokuhudhuria Ngao ya Hisani
Hata 2015 maafisa wa NEC walikuwa wateule wa mwenyekiti wa ccm lkn kidogo walikuwa fair ndio maana siasa zilikuwa na tension kubwa bwasheeeMbona viongozi wa TFF wote ni wanazi wa Simba lakini viwanja bado vinajaza?
Wema yule wa CCM Singida?
Segeria walikuwa wenyewe tumeishia taifaSipati picha nyomi kama hii ikisheheni kwenye mkutano wa chama cha siasa hali itakuwaje huko mitandaoni.
Je, mapenzi ya vilabu vya mpira hasa Simba na Yanga yanazidi yale ya vyama vya siasa?
Maendeleo hayana vyama!
Amini usiamini siasa zinafuatiliwa sana tu kupitia online Tvs, Twitter, Facebook, Instagram etc. Zile siasa za majukwaani zilipumzishwa kwa miaka mitano hivi ...si rahisi ziibuke ghafla hivi.......yaani ndio kumepambazuka pigeni kazi ya uenezi vijana....Hio ni sababu nojawapo, ila yaliyofanyika miaka hii mitano(siasa za kuunga mkono juhudi na haya ya leo ya kuengua wapinzani na mengineyo ya siku za nyuma),yamechangia sana kuwakatisha wananchi tamaa kufuatilia mambo ya siasa.
Yes na Chama wanachokipenda ni kile cha rangi zao!.Sipati picha nyomi kama hii ikisheheni kwenye mkutano wa chama cha siasa hali itakuwaje huko mitandaoni.
Je, mapenzi ya vilabu vya mpira hasa Simba na Yanga yanazidi yale ya vyama vya siasa?
Maendeleo hayana vyama!
Ila siku ya kupiga kura watajitokeza na kukipa kura chama cha rangi za jezi zao.Hio ni sababu nojawapo, ila yaliyofanyika miaka hii mitano(siasa za kuunga mkono juhudi na haya ya leo ya kuengua wapinzani na mengineyo ya siku za nyuma),yamechangia sana kuwakatisha wananchi tamaa kufuatilia mambo ya siasa.
Ndio maana nikasema, ni vyema Lissu angetumia nafasi hyo kufikisha ujumbe... Lissu kuonekana taifa tu ingemuweka karibu sana na WananchiKuna mambo mengine katika maisha yana umuhimu mkubwa sana kuliko kwenda kuangalia mpira.
Ndio maana nikasema, ni vyema Lissu angetumia nafasi hyo kufikisha ujumbe... Lissu kuonekana taifa tu ingemuweka karibu sana na Wananchi