Jannatul Firdaus
JF-Expert Member
- Aug 4, 2026
- 446
- 1,113
Nyota wa Zamani wa Soka Africa, Yaya Toure ameweka rekodi ya kipekee baada ya kuwa kocha wa kwanza Mwafrika kuifikisha timu katika hatua ya ligi ya UEFA Champions League, bila kufungwa hata mchezo mmoja katika safari hiyo ya kufuzu.
Timu yake ya Slovan Bratislava imepita kwenye michezo kadhaa ya ushindani bila kupoteza, ikipata ushindi dhidi ya Iberia, Banka, Podbrezova, Mjalby, Ruzomberok na Kosice, pamoja na sare dhidi ya Iberia na Celje.
Katika jumla ya mechi 10, timu yake imeshinda 8 na kutoka sare 2, bila kupoteza mchezo wowote.
Safari hiyo imekuwa hatua kubwa katika kazi ya ukocha ya Toure, ambaye sasa anaendelea kujenga jina lake katika soka la Ulaya akiwa nje ya uwanja baada ya kuwa mmoja wa viungo bora wa kizazi chake akiwa mchezaji.