Yaya Toure amshutumu Pep Guadiola kuwa anawabagua wachezaji kutoka Afrika

Etoo alilazimishwa kwenda inter na pesa juu pep alitoa amchukue zlatan ili tu etoo atoke barcelona na etoo alikuwa kwenye kiwango bora kabisa
Mpaka leo bado sijaelewa kwa nn Pep alimuuza Etoo aliyekuwa on fire wakati huo na kumleta Zlatan aliyeshindwa kabisa kuperform
 
Toure hajui kupiga basi za mwisho ukweli mchungu
Pep amezingua sana unajua pale City kamkuta Toure ndio king basi alitakiwa afanye ubinadamu tu ata kama hakua kwenye mipango yake angemtaarifu mapema ili ajue jinsi gani anaondoka akiwa bado na heshima yake.

Sasa yeye kapiga kimya tu jamaa adi hadhi yake imeshuka pale kambini.
 
Ukweli mchungu kaka waafrica wengi mno hawawezi kuendana na falsafa za pep inabidi tu tukubali hilo
 
Malalamishi haya hata Seydou Keita kipindi yupo Barcelona alisema, Pep alikuwa akimsifia sana mazoezini na kumwambia ni mmoja wa viungo wakabaji wazuri. Ila namba akawa hapati, kama kweli anaendana na sifa hizo.

Hadi Keita akamchoka na kumwambia aache kumdhihaki, anakupa sifa tu nafasi ya kucheza hupati
 
Yaya imemuuma sana, pep apo tu ndio anafel
Cjui watu weus walimfanyia ubaya gan, usioisha??
Alimtokea Amerie akamkataa toka siku hiyo aliapa kula sahani moja na black yeyote!
 
MECHEZAJI BWANA YA AFRICA TABU SANA...WEE NJAA ZAKO NDIO ZIMEKUPELEKA ULAYA SASA KAMAUNAONA UNABAGULIWA SII URUDI AFRIKA UCHEZE. WEWE KWANI TIMU ZOTEZINAFUNDISHWA NA PEP...SII UNAONDOKA TUU. AACHE PANG'ANG'A NA YEYE. KAZA BUTI MWANAUME UKISHAENDA ULAYA NA WEWE NI BLACK KUBALI UBAGUZI NI SEHEMU YA MAISHA UTAKI BAKI AFRICA SIMPLE AS THAT
 
Nilijuwa utasema kabeba mkuu, wakati Diego Millito ndiye alikuwa engine ya inter, wakiwemo na akina sneider, samuel water n.k..huyo etoo alikuwa anasubiri kutengewa tu.inshort hakuwa na msaada!

Jamaa wanashangaza sana, lakini inawezekana hawakuwa wakitizama soka wanatizama statistics za kwenye simu zao tu. mana wapo wengi sikuhizi.

Militto, Sneider, Lucio, Samuel, Maicon, Zanetti, Motta, Cambiaso, Chivu, Stankovic, Cesar, Jamaa alikua ndio bomu wao kwenye timu. knockout stage yote ya champion league alifunga goli moja tenda ndani ya round of 16 na jumla alifunga magoli mawili tu. Msimu mzimu alifunga goli 15 tu, wakati militto alifunga 30. Yani bora Balotelli ambae ni mchazaji wa akiba tu alifunga goli 12.
Miltto alimaliza msimu akiwa mchezaji bora wa Champion league, forward bora wa mwaka wa ulaya, mchezaji bora wa Seria A, Mfungaji bora wa Seria A, Man of of the match wa champion league Final, Man of the Match wa Italian Cup Final.
 

Siongezi chochote mkuu! Ni hivi..umemaliza kila kitu na mjadala ufungwe!
 

Sasa mkuu ulitaka acheze mbele ya Iniesta au ?
 

Jamaa alitisha huo msimu...alikuwa balaaa mbele ya goli
 
Millito alikuwa habari ingine

ILE IMU BWANA MOU ALIISUKA....ULE MSIMU CHAMPIONS LEAGUE BEST PLAYER KATIKA KILA POSITIONWALICHUKUWA WAO, BEST KIPA, DEFENDER, MIDFIELDER NA STRIKER.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…