Jamaa wanashangaza sana, lakini inawezekana hawakuwa wakitizama soka wanatizama statistics za kwenye simu zao tu. mana wapo wengi sikuhizi.
Militto, Sneider, Lucio, Samuel, Maicon, Zanetti, Motta, Cambiaso, Chivu, Stankovic, Cesar, Jamaa alikua ndio bomu wao kwenye timu. knockout stage yote ya champion league alifunga goli moja tenda ndani ya round of 16 na jumla alifunga magoli mawili tu. Msimu mzimu alifunga goli 15 tu, wakati militto alifunga 30. Yani bora Balotelli ambae ni mchazaji wa akiba tu alifunga goli 12.
Miltto alimaliza msimu akiwa mchezaji bora wa Champion league, forward bora wa mwaka wa ulaya, mchezaji bora wa Seria A, Mfungaji bora wa Seria A, Man of of the match wa champion league Final, Man of the Match wa Italian Cup Final.