Abu Ubaidah Commando
JF-Expert Member
- Sep 8, 2016
- 7,591
- 6,946
Pep Ni mbaguzi Hilo linajulikana wazi halina ubishi
Mbona mahrez amemuita kama ni mbaguzi kwa waafrika? Ebu tuacheni kulalamika..ndiyo maana wazungu wanatuita Nyani.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pep Ni mbaguzi Hilo linajulikana wazi halina ubishi
kwenye hili mkuu acha yaya zungumze tyuuu....unafanyiwa jambo la aina moja 2 times then ukae kimya?????????Hii tabia ya kulalamika tuache mkuu, ili tuendelee kimaisha na kisoka tuache kulalamika...mtu mweusi akipatikana na kitu huwa tunapenda sana kulaumu lakini hapo hapo tunajisahau kuwa sisi ndiyo wabaguzi wakutupwa maana mpaka sisi kwa sisi tunachukiana watu weupe tunawachukia..ebu tuacheni kulalama mkuu!
ronaldinho yule ambaye alikuwa amegombana na frank rijkaard??????? ronaldinho yule ambaye rijkaard alituambia kuwa ilifika wakati dinho anachagua mechi za kucheza...kuwa serious mkuuNyie wafrika shida sana. Eti unawezaje kumuuza mchezaji kwa kiwango kile. Je, alivyomuuza Ronaldinho? Mbona hatujasikia akilalamika kua ni ubaguzi, au kwa sababu ni mweupe ko mmekosa sababu ya kusemea?. Sane anaachwa na ujerumani kwenda Russia sio kwa sababu si mchezaji mzr ila kocha ameona awezi kufiti kwenye mfumo
ni kweli mkuu sane hajafit kwenye mfumo wa joachim low na takwimu zinajionyesha..sasa nenda 2008-2009 uangalie takwimu za etoo afu uone ni kweli hakufit kwa pep????????Nyie wafrika shida sana. Eti unawezaje kumuuza mchezaji kwa kiwango kile. Je, alivyomuuza Ronaldinho? Mbona hatujasikia akilalamika kua ni ubaguzi, au kwa sababu ni mweupe ko mmekosa sababu ya kusemea?. Sane anaachwa na ujerumani kwenda Russia sio kwa sababu si mchezaji mzr ila kocha ameona awezi kufiti kwenye mfumo
Ata wew mwenyew ni mbaguzi coz unaunga mkono ubaguzMbona mahrez amemuita kama ni mbaguzi kwa waafrika? Ebu tuacheni kulalamika..ndiyo maana wazungu wanatuita Nyani.
Ata wew mwenyew ni mbaguzi coz unaunga mkono ubaguz
Ko ndo ujue kua sio kwenda moja kwa moja kumlaumu Pep. Uwezijua Yaya inawezekana ana tabia ya kutaka kuonekana yeye ni bora hata mbele ya manager wake .ronaldinho yule ambaye alikuwa amegombana na frank rijkaard??????? ronaldinho yule ambaye rijkaard alituambia kuwa ilifika wakati dinho anachagua mechi za kucheza...kuwa serious mkuu
Kila kitu unasema Mbona Wazungu Mbona wachina Mbona Waarabu kama wew n African jivunie Kama wew n mtanzania jivunie u Tanzania Wako acha kutufananisha nahao wazungu,wachina ,WaarabuSiungi mkono ubaguzi.ila waswahili tuache kulalamika! Mbona wachina waarabu wazungu hawana tabia hizi za kulalamika unless ni sisi tu.
eti wazungu hawana tabia za kulalamikaSiungi mkono ubaguzi.ila waswahili tuache kulalamika! Mbona wachina waarabu wazungu hawana tabia hizi za kulalamika unless ni sisi tu.
Zlatan ni zaidi ya etoo bwana, waafrika sometimes tunapenda ongeza chumvi tu
Naimani sio kila mshabiki wa mpira anajua mpira. Kujua mpira kuna tofauti kubwa sana na kushabikia mpira.Acha kuropokwa ovyo mkuu. Lini etoo aliwahi kuwa striker bora duniani? waafrika bana
Weusi ambao sio wa ulaya au nchi za wazunguWeusi au waafrika?..kwa sababu sterling,fernandinho wote hawa ni weusi
Naimani sio kila mshabiki wa mpira anajua mpira. Kujua mpira kuna tofauti kubwa sana na kushabikia mpira.
Etoo alikua ni striker mwenye uwezo wa kupiga goli 30+ kwa msimu pale Barca (statistics ninazo) wakati anauzwa Zlatan hakuwa na kitu chakumzidi Etoo ila tu ni ubaguzi wa Pep Guardiola.
Sasa ngalia alichoenda ku achieve Etoo Inter Milan.. Vikombw vitatu kwa msimu wakati Zlatan alifunga vigoli kadhaa uchwara na kikombe kimoja cha msaada wa Messi..
Fatilieni soka acheni ushabiki maandazi pambaf
Maherez sio mwafrika,ni muarabu, Pep hapendi wachezaji wenye ngozi nyeusiAkielezea tabia halisi ya Guadiola ni kwamba anapenda kutawala bila kujibiwa na kuna wachezaji ambao wanakuwa radhi kulamba mikono yao kuonyesha kumnyenyekea.
Mi naona hapa ndo penye tatizo, Pep anamjua Toure kua hakubali kua chini ya menaja wake.
Hata Mimi ningekua Pep nisingekubali upuuzi huu. Mchezaji lazima uwe unamheshimu manager wako. Lakini inavyoonesha Tour ana matatizo ya kujiona yeye ndo awe msemaji, Afu anamlaumu Pep kwamba hakumfanyia sherehe kama Iniesta. Je, Valvede ndo aliyemfanyia Iniesta hiyo party?
Tujiulize kwa nini saizi Pep huyu huyu anamtaka Maherez kama hawataki wa Afrika, amefanya kazi na kina Abdal, Keita, kwa nini iwe Toure pekeake ndo alalamike?
Maherez sio mwafrika,ni muarabu, Pep hapendi wachezaji wenye ngozi nyeusi
Pale inter kulikuwa na mafundi banaa ambao ndiyo wenye timu yao, Diego milito huyu jamaa alikuwa moto pale na ndiye alikuwa anaibeba tim pamoja na sneider..ila sio huyo etoo choka mbaya, tatizo letu wabongo tunapenda kuwasifia black hata kama hawakuwa na msaada ktk tim
Ni watu matatizo kabisa, Eti etoo striker bora akiwa yeye striker bora Militto alikua nani? Van Nistelrooy? Ibrahimovic? Forlan? Inzaghi? Villa?
Maherez sio mwafrika,ni muarabu, Pep hapendi wachezaji wenye ngozi nyeusi
Kila kitu unasema Mbona Wazungu Mbona wachina Mbona Waarabu kama wew n African jivunie Kama wew n mtanzania jivunie u Tanzania Wako acha kutufananisha nahao wazungu,wachina ,Waarabu