Yaya Toure amshutumu Pep Guadiola kuwa anawabagua wachezaji kutoka Afrika

Yaya Toure amshutumu Pep Guadiola kuwa anawabagua wachezaji kutoka Afrika

Hii tabia ya kulalamika tuache mkuu, ili tuendelee kimaisha na kisoka tuache kulalamika...mtu mweusi akipatikana na kitu huwa tunapenda sana kulaumu lakini hapo hapo tunajisahau kuwa sisi ndiyo wabaguzi wakutupwa maana mpaka sisi kwa sisi tunachukiana watu weupe tunawachukia..ebu tuacheni kulalama mkuu!
kwenye hili mkuu acha yaya zungumze tyuuu....unafanyiwa jambo la aina moja 2 times then ukae kimya?????????
 
Nyie wafrika shida sana. Eti unawezaje kumuuza mchezaji kwa kiwango kile. Je, alivyomuuza Ronaldinho? Mbona hatujasikia akilalamika kua ni ubaguzi, au kwa sababu ni mweupe ko mmekosa sababu ya kusemea?. Sane anaachwa na ujerumani kwenda Russia sio kwa sababu si mchezaji mzr ila kocha ameona awezi kufiti kwenye mfumo
ronaldinho yule ambaye alikuwa amegombana na frank rijkaard??????? ronaldinho yule ambaye rijkaard alituambia kuwa ilifika wakati dinho anachagua mechi za kucheza...kuwa serious mkuu
 
ni kweli mkuu sane hajafit kwenye mfumo wa joachim low na takwimu zinajionyesha..sasa nenda 2008-2009 uangalie takwimu za etoo afu uone ni kweli hakufit kwa pep????????
 
ronaldinho yule ambaye alikuwa amegombana na frank rijkaard??????? ronaldinho yule ambaye rijkaard alituambia kuwa ilifika wakati dinho anachagua mechi za kucheza...kuwa serious mkuu
Ko ndo ujue kua sio kwenda moja kwa moja kumlaumu Pep. Uwezijua Yaya inawezekana ana tabia ya kutaka kuonekana yeye ni bora hata mbele ya manager wake .
Pia kwa sababu anapenda sifa kuonekana yuko bora ndo mana analalamika
 
Mpaka yaya toure kaongea basi imemuuma sana. . Huyu jamaa ni mtu wa kazi. ...
 
Siungi mkono ubaguzi.ila waswahili tuache kulalamika! Mbona wachina waarabu wazungu hawana tabia hizi za kulalamika unless ni sisi tu.
Kila kitu unasema Mbona Wazungu Mbona wachina Mbona Waarabu kama wew n African jivunie Kama wew n mtanzania jivunie u Tanzania Wako acha kutufananisha nahao wazungu,wachina ,Waarabu
 
Siungi mkono ubaguzi.ila waswahili tuache kulalamika! Mbona wachina waarabu wazungu hawana tabia hizi za kulalamika unless ni sisi tu.
eti wazungu hawana tabia za kulalamika
kamuulize morinyo kwanini kaifunga akaunti yake ya insta
 
Zlatan ni zaidi ya etoo bwana, waafrika sometimes tunapenda ongeza chumvi tu
Acha kuropokwa ovyo mkuu. Lini etoo aliwahi kuwa striker bora duniani? waafrika bana
Naimani sio kila mshabiki wa mpira anajua mpira. Kujua mpira kuna tofauti kubwa sana na kushabikia mpira.

Etoo alikua ni striker mwenye uwezo wa kupiga goli 30+ kwa msimu pale Barca (statistics ninazo) wakati anauzwa Zlatan hakuwa na kitu chakumzidi Etoo ila tu ni ubaguzi wa Pep Guardiola.

Sasa ngalia alichoenda ku achieve Etoo Inter Milan.. Vikombw vitatu kwa msimu wakati Zlatan alifunga vigoli kadhaa uchwara na kikombe kimoja cha msaada wa Messi..

Fatilieni soka acheni ushabiki maandazi pambaf
 
Pale inter kulikuwa na mafundi banaa ambao ndiyo wenye timu yao, Diego milito huyu jamaa alikuwa moto pale na ndiye alikuwa anaibeba tim pamoja na sneider..ila sio huyo etoo choka mbaya, tatizo letu wabongo tunapenda kuwasifia black hata kama hawakuwa na msaada ktk tim
 
Akielezea tabia halisi ya Guadiola ni kwamba anapenda kutawala bila kujibiwa na kuna wachezaji ambao wanakuwa radhi kulamba mikono yao kuonyesha kumnyenyekea.

Mi naona hapa ndo penye tatizo, Pep anamjua Toure kua hakubali kua chini ya menaja wake.
Hata Mimi ningekua Pep nisingekubali upuuzi huu. Mchezaji lazima uwe unamheshimu manager wako. Lakini inavyoonesha Tour ana matatizo ya kujiona yeye ndo awe msemaji, Afu anamlaumu Pep kwamba hakumfanyia sherehe kama Iniesta. Je, Valvede ndo aliyemfanyia Iniesta hiyo party?
Tujiulize kwa nini saizi Pep huyu huyu anamtaka Maherez kama hawataki wa Afrika, amefanya kazi na kina Abdal, Keita, kwa nini iwe Toure pekeake ndo alalamike?
Maherez sio mwafrika,ni muarabu, Pep hapendi wachezaji wenye ngozi nyeusi
 
Pep n humbwa anafaa kutindukiwa
Juuu miguu juu kichwa chin
Kwa sku nzima
 
Pale inter kulikuwa na mafundi banaa ambao ndiyo wenye timu yao, Diego milito huyu jamaa alikuwa moto pale na ndiye alikuwa anaibeba tim pamoja na sneider..ila sio huyo etoo choka mbaya, tatizo letu wabongo tunapenda kuwasifia black hata kama hawakuwa na msaada ktk tim

Ni watu matatizo kabisa, Eti etoo striker bora akiwa yeye striker bora Militto alikua nani? Van Nistelrooy? Ibrahimovic? Forlan? Inzaghi? Villa?
 
Back
Top Bottom