Yaya Toure amshutumu Pep Guadiola kuwa anawabagua wachezaji kutoka Afrika

Lile likipara Nilibaguzi lakupindukia ndo macatalonia yalivo ni mabaguzi yakiwango cha juu

Sisi waafrika kazi kulalamika tu, ndiyomaana hatuendelei...sisi kwa sisi tunachukiana, waarabu tunawachukia, wahindi tunawachukia...hii ngozi sijui ni nani alituloga...ni bora ningezaliwa mchina au mwarabu.
 
Hapana ni bora ungezaliwa Nyani Afrika ili uwe na undugu na nyani ngabu wa US.

Toure anajilizaga kiboya sana but haiondoi ukweli kwamba pep ni mbaguzi wa wazi wazi kwa waafrika. hata wazungu wengi waliona ishu zake...rejea na angalia clip za Ibrahimovic akimlalamikia na kummind pep kumbagua etoo hadharani.
 
Ajabu sana Leo hii watu wanajifanya kujisahaulisha kuhusu Yaya Toure, hivi ule uwezo aliokuanao Yaya kabla ya kuanza kusumbuliwa na weight De anaweza kuufika ata nusu yake kweli!

Yaya alikua hatari tatizo laukuongezeka uzito ndicho kigezo alichokitumia au sababu ya Pep kuanza kutotaka kumtumia kwenye mipango yake.

Yaya alifunga magoli makali alitengeneza magoli alipiga pasi zakutosha huku akiisaidia Sana City kushinda possession kwenye mechi nyingi.

Nikirudi kwenye Mada Pep ni mbaguzi na hilo liko wazi kabisa na kuna kesi nyingi zakibaguzi zinazomhusu Pep.

Mwisho kwangu mimi nna wachezaji watatu Yaya, Silva na De bruyne wote wakiwa kwenye viwango vyao bora ntamchagua Yaya Toure.
 
Utamchagua toure kwa sababu ya uafrika wake ila sio "kiwango" waafrika sijui tuna matatizo gani.
 
Ajabu sana Leo hii watu wanajifanya kujisahaulisha kuhusu Yaya Toure, hivi ule uwezo aliokuanao Yaya kabla ya kuanza kusumbuliwa na weight De anaweza kuufika ata nusu yake kweli!

Yaya alikua hatari tatizo laukuongezeka uzito ndicho kigezo alichokitumia au sababu ya Pep kuanza kutotaka kumtumia kwenye mipango yake.

Yaya alifunga magoli makali alitengeneza magoli alipiga pasi zakutosha huku akiisaidia Sana City kushinda possession kwenye mechi nyingi.

Nikirudi kwenye Mada Pep ni mbaguzi na hilo liko wazi kabisa na kuna kesi nyingi zakibaguzi zinazomhusu Pep.

Mwisho kwangu mimi nna wachezaji watatu Yaya, Silva na De bruyne wote wakiwa kwenye viwango vyao bora ntamchagua Yaya Toure.

Ndio kama nyie mnaoishia kushusha daraja timu kama mkiwa makocha.
 
Jamaa dume zima lina mambo ya ajabu kabisa. sijui anajihisi kama anakiwango kama cha iniesta au modric nahisi.

Kuna kipindi alinuna kisa timu haijamfanyia birthday !!!!!!!!!
Anatabia za watu wa Zaire uyo
 
Nimekupata hapo.

Seydou Keita aikuwa ni DM na Eric Abidal alikuwa ni beki mshahara wa kushoto au beki wa kati.

Hawa wawili hawakuwa na mbadala kwani pale Barca hata Maxwell alipoletwa na Pep Guadiola hakuweza kumtoa Abidal kwenye hiyo nafasi.

Keita unafahamu release clause yake kutoka Sevilla kwenda Barca ilikuwa ni kiasi gani? Euro milioni 90.

Ila Pep angeweza hata kumchezesha Yaya Toure mechi ambazo si more competitive badala ya kumuacha kabisa nje akasugua bench.

Hali hii huleta sintofahamu kubwa.

Au labda tuseme pia kwamba kwa kuwa Yaya Toure alikuwa ni attacking midfielder basi hakuwa na uwezo wa kushawishi mechi zipi acheze.

Au asiyo?

Keita hakua DM keita alikua CM, na usijaribu kumfanya keita mchezaji mkubwa, jamaa alikua average player tu aliebahatika kucheza timu kama Barca.

Na usifananishe kabisa Abidal na Maxwell kiuwezo, Abidal alikua kipenzi tu Barca lakini sikwa kumshinda Maxwell.

Yaya CM na namba yake ndani ya Barca alikua ancheza Xavi. Alikua akichezeshwa DM kwa vile hawakua na mtu dhamana kwenye ile position, na jamaa yoko weak sana kwenye defending alikua akiicost sana timu. Na Busquet alikuja kuchukua namaba kirahisi, yaya Hawezi kucheza DM yaya uwezo wake ni kucheza CM. Ambayo ndo namba ya mzee Xavi.
 
Unazungumzia Man city au Barca?
Kama ni City hivi weye unahisi Yaya alikua acheze sehemu gani pale labda utwambie.

Kama ni Barca Xavi, Iniesta, Messi unawafahamu vizuri hao? greatest players wa hii generation. Wachezaji wavichochoroni wanini tena?
 
Keita hakua DM keita alikua CM, na usijaribu kumfanya keita mchezaji mkubwa, jamaa alikua average player tu aliebahatika kucheza timu kama Barca.

Na usifananishe kabisa Abidal na Maxwell kiuwezo, Abidal alikua kipenzi tu Barca lakini sikwa kumshinda Maxwell.

Yaya CM na namba yake ndani ya Barca alikua ancheza Xavi. Alikua akichezeshwa DM kwa vile hawakua na mtu dhamana kwenye ile position, na jamaa yoko weak sana kwenye defending alikua akiicost sana timu. Na Busquet alikuja kuchukua namaba kirahisi, yaya Hawezi kucheza DM yaya uwezo wake ni kucheza CM. Ambayo ndo namba ya mzee Xavi.

Ok mkulu, habari ndiyo hiyo ya Yaya Toure na sasa hivi inajadiliwa huko Ughaibuni.

Mimi nafuatilia tu kutoka kibandani kwangu hapa Kwa Mtogole, nachoma Chips na kuku.

😀
 
Rotation yake yeye na Silva? uyo kocha kaugua ? wabongo bana Pana chakulalamika hapo ?

Silva amekuwa na Kiwango kizuri sana ila amevurunda mara kibao pia. Kumbukia Derby ya pili ya msimu huu ya Manchester. Nakuona ukikosa point unavyomshusha huyo jamaa. Toure alikuwa Kiungo na lakini mfungaji anaetupia sana tu mabao.

Weka stats za misimu ya kabla, na the good thing is wote wawili Silva na Toure wamecheza kikosi kimoja kwa miaka mingi sana pale Etihad
 
Heshima ya Toure Man city haiwezi kufutwa na yeyote.
Hawa akina De bruyne wa msimu mmoja ndio wafanye ubora wa Yaya upotee kweli.?? Yaya ni mzee sasa hawez kupata nafasi.
Ila sio kwa kutompa heshima yake.. Toure ameibeba City tangu atue pale tuache ubishi.. Kusema silva anamzid labda baada ya Pep kuja pale.. lakin uwezo Yaya ni hatar., anakaba, anapiga pasi, anafunga... Bila ubishi toure amenyimwa heshima yake wazi wazi.
Sina rekod ya kile alichofanya barcelona.. ila kwa man city Tajeni middle Mwingine wa kumzidi Toure pale city sio hawa mnaotaja humu.. Na mtu kuzeeka hakufuti mchango aliotoa kwenye timu.
Style yake ya kushangilia anakimbia anakaa chini na kutawanya mikono.. Aagh bhana YAYA TOURE si mchezo acha achoke awaachie wadogo zake km alivyofanya INIESTA.
Pep ni mbaguzi hata kwa Eto'o ilikuwa wazi.. Alipofunga final ya UEFA aliuma ngozi yake kama ishara ya kubaguliwa nadhani baada ya hapo akapigwa bei akaja Zlatan.
Hadi kesho BUSQUET Hamfikii Yaya ni Uzawa tu na Baba wa SERGIO BUSQUET Alicheza pale
 
Silva amekuwa na Kiwango kizuri sana ila amevurunda mara kibao pia. Kumbukia Derby ya pili ya msimu huu ya Manchester. Nakuona ukikosa point unavyomshusha huyo jamaa. Toure alikuwa Kiungo na lakini mfungaji anaetupia sana tu mabao.

Weka stats za misimu ya kabla, na the good thing is wote wawili Silva na Toure wamecheza kikosi kimoja kwa miaka mingi sana pale Etihad
Wajinga ndio watapinga uwezo wa yaya.. Toure ni balaa wkt wake acha sasa kachoka
 
Kwa ufahamu wangu City imevunja record yake ya magoli msimu huu. Sio lazima afunge lakini silva anabaki kuwa ndio most creative player kwenye Man city for the last 10 years.
 
Wajinga ndio watapinga uwezo wa yaya.. Toure ni balaa wkt wake acha sasa kachoka

Of course umri umemtupa, kwa umri huo alionao ni mtu wa kupisha wengine pia wacheze. Ila nimemhoji huyo jamaa anaemdownplay YAYA. Nakumbuka kuna msimu kama sio 2012 YAYA alipiga goli 17 za ligi kama sijakosea. Ni nani labda ataweza kitu hiko kwa viungo hao Silva au nani?
 
Back
Top Bottom