Yedioth Ahronoth: Takriban wanajeshi 10,000 wa Israel wameuawa/kujeruhiwa katika miezi 9 iliyopita ya vita vya Israel kwenye Ukanda wa Gaza

Nachojua. Israel imepata hasara lakini sio wanajeshi 10000. Hiyo ni idadi kubwa sana kwa jeshi la viwango vya israel.
 
Iran anajua anachokifanya anajua lini atafungua bucha Israel hapa anakusanya mizigo.


View: https://x.com/jacksonhinklle/status/1819867590384107831?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
 
Hapo kapigana na Hamas walio na silaha za kuokoteza.
Je angepigana na jeshi kamili lenye vifaa kama vyake ingekuaje?
Anadhani Anga yq Gqza anajiachia kila sehemu.

Ndege isiyo na rubani ya Marekani MQ-9 ilidunguliwa juu ya Saada, Yemen, kulingana na Al-Mayadeen.

Ni mara ya nane kwa ndege ya MQ-9 yenye thamani ya dola milioni 32 kupigwa risasi kutoka angani tangu Mafuriko ya Al-Aqsa kuanza, na mara ya saba Yemen.


View: https://x.com/suppressednws/status/1820116883019801060?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
 
Waislam Wanajali siku hizi.. au ndio vile bila wayahudi Muslim anakuwa mpweke.. kama simba na Yanga
 
$32 million X 8 Yemen kaishazitungua hizo MQ-9 drone .

Ohooo Yemen masikini hawana uwezo wowote kazi yao kula mirungi.

Marekani kapelaka kila ofa wamekataa wanataka Israel aondoke Gaza patamu hapo😀
 
Waisrael wa Nyamshwa. Songwe, Ngudu, Maji Matitu, Makete, Makoko. Kibosho. mpo?
Watajificha ngojea kesho uone ksma kuna ataongea kitu hapa. Mimi na infomation channel ya tv ya Egypt inasema Israel wanajeshi wake wote wamekufa kule Gaza, wanao pigana na wale Reserve Soldiers tu, sio wanajeshi wenyewe sababu wamemalizwa huko Gaza huoni wanasita kuingia Lebanon. Wamewapleka wale Madoruz ambao ni warabu ndio wakapigane na Hezbullah. Kuna tv channel ya Egypt ndio imesema vile. Takutafutia na leo hi jioni Hezbullah kapeleka salamu kama za jana


View: https://youtu.be/hJb9oktFhs0?si=o7zYTOwNk1zcZ3Fw
 
Nakubaliana na wewe wanajeshi hamna kama wanavyosema wenyewe.
Not less than 10,000 israeli soldiers were killed or wounded during the war in Gaza. According to data from the Ministry of Defense's Rehabilitation Branch, every month about 1,000 soldiers are added to the list of the wounded.

Source: Yedioth Ahronoth

🇮🇱BREAKING:

Wanajeshi wasiopungua 10,000 wa Israel waliuawa au kujeruhiwa wakati wa vita huko Gaza. Kwa mujibu wa data kutoka Tawi la Wizara ya Ulinzi la Urekebishaji, kila mwezi takriban wanajeshi 1,000 huongezwa kwenye orodha ya waliojeruhiwa.

Ajabu Muisrael wa Bukombe anapingana na jarida maarufu la Yedioth Ahronoth.
 
Wangekuwa Al Jazeera wamesema hizi habari ndiyo wangepinga sasa wamesema wenyewe.
Wamesema wenyewe akina nani?
Hicho ni kigazeti uchwara cha UDAKU na propaganda cha huko nchini Uturuki, angalia vizuri
 
Kuuawa na kujeruhiwa ndio nini wewe Kobaz?
 
Wamesema wenyewe akina nani?
Hicho ni kigazeti uchwara cha UDAKU na propaganda cha huko nchini Uturuki, angalia vizuri
Acha ujinga wewe.
Toka lini UTURUKI inamiliki chombo cha habari kinachoitwa TIMES OF ISRAEL!??
Hiko ni chombo cha Israel utake USITAKE.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…