Ziroseventytwo
JF-Expert Member
- Mar 27, 2011
- 8,581
- 15,618
Nachojua. Israel imepata hasara lakini sio wanajeshi 10000. Hiyo ni idadi kubwa sana kwa jeshi la viwango vya israel.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Iran anajua anachokifanya anajua lini atafungua bucha Israel hapa anakusanya mizigo.Iran atumie chance hii kumchapa mzayuni anasubiri nini?kama ameshaelemewa upande mmoja kama ilivoandikwa hapo akija na muiran saa nne asubuhi tu anafunga hesabu.
Au labda amestuka zayuni ametunga uwongo ili kumvutia ajichanganye amtandike,huwezi kujua lakini Mimi naona huu ndiyo ulikuwa wakati sahihi kufunga kazi
Anadhani Anga yq Gqza anajiachia kila sehemu.Hapo kapigana na Hamas walio na silaha za kuokoteza.
Je angepigana na jeshi kamili lenye vifaa kama vyake ingekuaje?
Kwisha habari yako unaleta mfano wa Simba na Yanga wakati Israel kuna msiba.Waislam Wanajali siku hizi.. au ndio vile bila wayahudi Muslim anakuwa mpweke.. kama simba na Yanga
Sasa wewe upo Rorya unapingana na Wandishi wa habari wa Israel ? Serikali yenyewe hawajakanusha hizo habari.Nachojua. Israel imepata hasara lakini sio wanajeshi 10000. Hiyo ni idadi kubwa sana kwa jeshi la viwango vya israel.
Watajificha ngojea kesho uone ksma kuna ataongea kitu hapa. Mimi na infomation channel ya tv ya Egypt inasema Israel wanajeshi wake wote wamekufa kule Gaza, wanao pigana na wale Reserve Soldiers tu, sio wanajeshi wenyewe sababu wamemalizwa huko Gaza huoni wanasita kuingia Lebanon. Wamewapleka wale Madoruz ambao ni warabu ndio wakapigane na Hezbullah. Kuna tv channel ya Egypt ndio imesema vile. Takutafutia na leo hi jioni Hezbullah kapeleka salamu kama za janaWaisrael wa Nyamshwa. Songwe, Ngudu, Maji Matitu, Makete, Makoko. Kibosho. mpo?
We unajua zaidi ya wao Israel vijana wa mheza mmendelea aisay.Nachojua. Israel imepata hasara lakini sio wanajeshi 10000. Hiyo ni idadi kubwa sana kwa jeshi la viwango vya israel.
Watajificha ngojea kesho ione mkristo kama ataongea kitu hapa. Mi.i na infomation channel ya tv ya Egypt inasema Israel wanajeshi wake wote wamekufa kule Gaza wanao pigana na wale Reserve Soldiers tu sio wanajeshi wenyewe sababu wamemalizwa huko Gaza huoni wanasita kuingia Lebanon wamewapleka wale Madoruz ambao ni warabu ndio wakapigane na Hezbullah. Kuna tv channel ya Egypt ndio imesema vile. Takutafutia na leo hi jioni Hezbullah kapeleka salamu kama za jana
View: https://youtu.be/hJb9oktFhs0?si=o7zYTOwNk1zcZ3Fw
Wamesema wenyewe akina nani?Wangekuwa Al Jazeera wamesema hizi habari ndiyo wangepinga sasa wamesema wenyewe.
Kuuawa na kujeruhiwa ndio nini wewe Kobaz?Wanakumbi.
YERUSALEMU
Takriban wanajeshi 10,000 wa Israel wameuawa na kujeruhiwa tangu kuzuka kwa mzozo wa Gaza Oktoba 7 iliyopita, kwa mujibu wa vyombo vya habari vya Israel siku ya Jumapili.
Gazeti la Yedioth Ahronoth lilisema wanajeshi 1,000 wanahamishwa kila mwezi hadi idara ya ukarabati ya Wizara ya Ulinzi kutokana na majeraha waliyopata katika vita vya Gaza.
"Jeshi linakabiliwa na uhaba wa askari wasiopungua 10,000 waliouawa au kujeruhiwa wakati wa miezi mingi ya mapigano katika Ukanda wa Gaza," gazeti la kila siku lilisema.
Gazeti hilo lilikosoa Knesset (bunge la Israeli) kwa kwenda mapumziko ya kiangazi kuanzia Julai 22 hadi katikati ya Oktoba bila kupitisha sheria ya kuongeza utumishi wa lazima wa kijeshi.
"Hakujawa na hali kama hiyo katika historia ya vita vya Israeli ... ambapo askari wanapigana ndani ya ardhi ya adui, chini ya hali mbaya, kwa miezi 10 mfululizo," mama wa mwanajeshi wa Israeli katika Brigedi ya jeshi la Nahal aliiambia Yedioth Ahronoth.
Kulingana na gazeti hilo, wanajeshi wa kike wanaohudumu katika Milima ya Golan ya Syria inayokaliwa na Israel waliarifiwa bila kutarajia kuhusu kuongezwa kwa miezi minne ya ziada ya huduma yao.
Israel, ikikiuka azimio la Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa la kutaka kusitishwa mara moja kwa mapigano, imekabiliwa na shutuma za kimataifa kutokana na kuendelea na mashambulizi ya kikatili dhidi ya Gaza tangu mashambulizi ya Oktoba mwaka jana na kundi la muqawama la Palestina Hamas.
=====================
JERUSALEM
At least 10,000 Israeli soldiers have been killed and injured since the outbreak of the Gaza conflict last Oct. 7, according to Israeli media on Sunday.
Yedioth Ahronoth newspaper said some 1,000 soldiers are transferred every month to the Defense Ministry’s rehabilitation department due to injuries sustained in the Gaza war.
"The army is suffering from a shortage of at least 10,000 soldiers killed or wounded during the long months of fighting in the Gaza Strip,” the daily said.
The newspaper criticized the Knesset (Israel’s parliament) for going on summer break from July 22 until mid-October without passing legislation to extend mandatory military service.
“There has been no such a situation in the history of Israel’s wars…where soldiers fight inside enemy territory, under unfavorable conditions, for 10 consecutive months,” the mother of an Israeli soldier in the army’s Nahal Brigade told Yedioth Ahronoth.
According to the newspaper, female soldiers serving in Israel-occupied Syrian Golan Heights were unexpectedly informed of an additional four-month extension of their service.
Israel, flouting a UN Security Council resolution demanding an immediate cease-fire, has faced international condemnation amid its continued brutal offensive on Gaza since an attack last October by the Palestinian resistance group Hamas.
Habari zaidi bofya hapa chini
👇🏽
Military service of female soldiers in Israel-occupied Golan Heights extended by 4 months, according to Israeli media - Anadolu Ajansı At least 10,000 Israeli soldiers killed, injured in Gaza war: Report
View: https://youtu.be/nGZ5cMli5t8?si=03Huo50H02s-V7Vp
Tela Aviv wanaharisha huko Kyriat Shmona kiwanda kinawaka moto huko.
Acha ujinga wewe.Wamesema wenyewe akina nani?
Hicho ni kigazeti uchwara cha UDAKU na propaganda cha huko nchini Uturuki, angalia vizuri