Marco Polo
JF-Expert Member
- Jan 16, 2014
- 13,538
- 21,664
Naunga mkono hojaWanajitoaga akili tena na sasa na huu mfungo na sukari kupungua kwenye ubongo tegemea utumbo zaidi kuandikwa humu.
Naunga mkono hojaWanajitoaga akili tena na sasa na huu mfungo na sukari kupungua kwenye ubongo tegemea utumbo zaidi kuandikwa humu.
Houthi wana over 80% support ya wananchi wa Yemen, na hiyo ni baada ya siasa za wa Houthi kushabihiana sana na IranNi Yemen ambayo kwa sasa hakuna mwenye sauti mbali na Houth
Nakubaliana na wewe kwa sababu kipindi hiki ndicho waislam hula mapochopocho zaidi.Ramadhani kwa mafunzo ya uislamu ndio muda watu wanakuwa na akili zaidi kwani afya zao huiamarika kuliko kawaida
Kipigo cha leo cha Houth kitakujakuthibitishwa na Marekani baada ya miezi au miaka.Propaganda za kijinga kuficha kipondo wanachokipata huko Yemen!! Kama kweli hata kapicha ka video tuwekee udhibitishe ujinga wako!!
Kama ni ivyo kwanini uyo PUTO wenu asogei IRAN ili akamalize uwo Ugaid!!!! Kumbe wanajua Shida imeanzia IRAN!!!Siyo Yemen, ni hicho kikundi cha kigaidi cha Houthi kinachofadhiliwa na Iran, ambacho, kama ilivyokuwa kwa Lebanon, kimepokonya mamlaka ya Serikali ya Yemen.
Kama ilivyokuwa kwa Lebanon, shambulio lolote dhidi ya Houthi linaungwa mkono na mataifa yote ya kiarabu, isipokuwa taifa fadhili la kigaidi, Iran.
The Houthis, also known as the Houthi movement and officially the Ansar Allah, is a Zaydi Shia Islamist political and military organization that emerged from Yemen in the 1990s. It is predominantly made up of Zaydi Shias, with their namesake leadership being drawn largely from the Houthi tribe.
Who supports the Houthi rebels?
Iran, North Korea, Libya and Hezbollah.
Ita upendavyo lakini kitabaki kuitwa kipondo cha mbwa-koko!!!!Kipigo cha leo cha Houth kitakujakuthibitishwa na Marekani baada ya miezi au miaka.
Mbabe akimpiga mnyonge sana haitwi kipondo.
Na sasa wametangaza si meli za israel tu hata za marekani haziruhusiwi kupita bahari nyekunduKipondo siku ya pili anainuka anakufuata.Wengine huita hiyo ni roho ya paka.
Lazima wajibu, na ndio maana ya vita. Wakihofu si hakuna vita hapoWaziri wa mambo ya nje wa Iran amesema Marekani na Israel zimechanganyikiwa baada ya kuona nchi za kiarabu zikiungana dhidi yao,
Tamko hilo amelitoa baada ya wanajeshi wa Houth kuzishambulia meli za kivita zinazoongozwa na meli ya USS Harry Truman ikiwa ni siku moja tu tangu Donalda Trump atoe amri ya kushambuliwa kwa Yemen kwa kile alichokiita kutaka kuishambulia tena Israel kuhusiana na Gaza.
Katika maelezo yake kwenye mtandao wa kijamii waziri huyo amesema njia inayotumiwa na Yemen ndio njia pekee ya kuondosha dhulma ni hiyo ya mapambano.
Mapema hapo juzi baada ya kutoa amri ya kushambuliwa kwa mamlaka ya Yemen chini ya Houth,raisi Trump alikiri kuwa huko nyuma jeshi lake lilipata hasara kadhaa kutokana na mashambulizi yaliyofanya na Houth ijapokuwa muda uliopita wote nchi yake ilikuwa ikikanusha mashambulizi hayo kuleta athari yoyote kwa meli zao za kivita.
View attachment 3273621
Hata kama hujiwezi ukipigwa pambana! ... unapoteza nguvu kumlaumu anayerudishia kupigwa badala ya kumkemea aliyepiga mwanzo?kumbe wanajiweza.Sitegemei watu waanzekuliaUSA akili-retaliate
If you start a war don’t complain when you lose it waache ujinga hapo hakuna Morally right hapo ujinga tu unawasumbua safari hii wanapigika sana tu!!Hata kama hujiwezi ukipigwa pambana! ... unapoteza nguvu kumlaumu anayerudishia kupigwa badala ya kumkemea aliyepiga mwanzo?
Hoja iliyopo ni kuwa hawa mabwana hawaruhusu meli yoyote kupita mpaka iliruhusiwe misaada kwenda kwa wahanga wa Gaza, are they morally right? I think yes they are.
Look at you my friend! .. yani unakataa mtu kuwa na moral audacity ya kupambania wahanga wa vita ukiwa unamtetea USA ambae hata vita haimuhusu? ... kwako USA kumsaidia Israel kupiga wapelestina ni sawa kabisa lakini mtu mwengine kumtetea raia wa kipalestina ndo unamuona adui? ... shame on u bro!If you start a war don’t complain when you lose it waache ujinga hapo hakuna Morally right hapo ujinga tu unawasumbua safari hii wanapigika sana tu!!
Kwa Mkatadha huo huo Wahouthi wa Yemen,Hezbollah inawahusu vipi vita ya Gaza? kwa maana hiyo wanaowatetea hao unaowaita wewe Wapalestina wanaunga mkono Mauaji ya kinyama yaliyofanywa na Hamas Oct 07,2023 kwa Hali hiyo hiyo moral audacity mnapata wapi? Wajinga nyie?Look at you my friend! .. yani unakataa mtu kuwa na moral audacity ya kupambania wahanga wa vita ukiwa unamtetea USA ambae hata vita haimuhusu? ... kwako USA kumsaidia Israel kupiga wapelestina ni sawa kabisa lakini mtu mwengine kumtetea raia wa kipalestina ndo unamuona adui? ... shame on u bro!
Sasa USA wanataka kuwahamishia wapalestina Misri na Somalia na bado mtu unakuwa mtumwa wa fikra kumshabikia USA kufanya exactly the opposite ya kile walichokifanya kwa waisrael. Yani wanamtoa Mpalestina kwao ili wamuweke muisrael sehemu ya Palestina.
Usiwe na chuki kiasi hicho ndugu yangu! na ikiwa imani yako ndo inakufunza hivyo basi jitafakari vizuri!!! ... Mungu wa kweli hayupo pamoja na mwenye kudhulumu.
Kutukana ni dalili ya wazi kuwa hoja zako pekee hazitoshi! ... nakupa homework. Israel ni kizazi kutoka kwa Ibrahim sio? Ibrahim kwao wapi? alizaliwa ama alihamia hapo unapopaita Israel? kama alihamia je alianzisha mji ama alikuta watu wapo tayari?Kwa Mkatadha huo huo Wahouthi wa Yemen,Hezbollah inawahusu vipi vita ya Gaza? kwa maana hiyo wanaowatetea hao unaowaita wewe Wapalestina wanaunga mkono Mauaji ya kinyama yaliyofanywa na Hamas Oct 07,2023 kwa Hali hiyo hiyo moral audacity mnapata wapi? Wajinga nyie?
Kuhusu kuwahamisha hao wapalestina Uchwara Trump alikuwa akitoa maoni yake binafsi kama wewe unavyotoa maoni yako. Suala hilo linaweza kukubalika au kukataliwa ni juu ya wadau kuamua. Je inawezekana kufanya ujenzi huku kuna msongamano wa watu au la? Binafsi hata kuwahamisha ni vyema na jaribu kujiuliza kwa nini nchi zote Jirani hali taki kuwapokea VIBAKA hao? Jibu ni rahisi sana wanawajua sana ukorofi wao. Kwa ujinga ulionao hujui kuwa hiyo Gaza ilikuwa sehemu ya Israel hujui hata history umekaririshwa tu na waarabu kwa taarifa yako halijawahi kutokea taifa la Palestina na halitatokea hao unaowaita wewe wapalestina wameanza kuitwa na Yasser Arafat Mwaka 1967 tu wakati Israel ipo zaidi ya miaka 3,000.
Nakushangaa unaposema Nina chuki chuki ya nini waarabu ndiyo wana chuki na dini yao ya kiislamu. Wanafundishwa kuwachukia wayahudi na wasio waislamu. Mfano mzuri baada ya Israel kuondoka Gaza Sept 22,2005 waarabu waliwafukuza wayahudi waliokuwa huko Gaza na wakavunjavunja Masinagogi yao na walitoa taarifa akionekana muyahudi Gaza au West-Bank wanaua na ndivyo walivyokuwa wakifanya wamewaua wayahudi wengi sana huko ukijua upadnę wa Israel wao wanakaa na waarabu zaidi ya Million mbili na wana haki sawa kama wayahudi sasa wewe huoni tofauti hiyo? Najua kwa kuwa wewe ni mbumbumbu huyajui yote haya.