Mtume wa kweli hawezi kuwa jemedari wa vita, yeye Mungu ndiye anampigania.Kama unamzungumzia mtume mohammad basi jua ya kwamba,, alikuwa na wake wanne, watoto saba, alikuwa mfanyabiashara na jemedari wa kivita aliongoza vita Zaidi ya moja,,, kifupi alikuwa mwanaume wa shoka haswa