Yemen Houthi: Tutajibu mashambulizi Israel nchi yeyote itakayozua makombora tutaishambulia

Kibandari Chao kimepigwa kibiriti wanaanza kutafuta huruma wapige tenawaone moto wa Israel
Mbona wamerusha,na milipuko imesikika Eilat Israel, Israel wamebaki kujichanganya Mara hakuna milipuko Mara makombora yalidunguliwa na arrows,Ila waisrael wanachat mtandaoni kwamba vyuma vilitua,na huo ni mwanzo,hapo Russia,Iran,Korea kaskazini watapeleka mzigo Yemen ili utue Israel,ilmrad wamshughulushe basha wa Israel, marekani
 
Baada ya kutuma huu uzi ulinishambulia personal au umesahu?
Nje ya mada....Mheshimiwa sana Ritz mbona sikuoni anga za Lumumba ukitetea ugali kama ilivyokuwa enzi zile?😅
 
Hahaha acha vituko basi wewe.
Nenda huko upate baraka la kanisa

Qur'an 2.120


And never will the Jews and the Christians approve of you until you follow their religion. Say, "Indeed, the guidance of Allāh is the [only] guidance." If you were to follow their desires after what has come to you of knowledge, you would have against Allāh no protector or helper.
 
Hizi ni Dalili za Unabii kutimia vita itapigwa and Israel itashinda na kuchukua maeneo yote waliyopewa na Allah wayapiganie hadi kiama.. safi sana Yemen its time gongwa gongwa tu Israel a hukuenda maeneo..
Pole sana hizo ndoto mnaziotea mtaa gani kwenye taifa teule au.

Qur'an 2.120

And never will the Jews and the Christians approve of you until you follow their religion. Say, "Indeed, the guidance of Allāh is the [only] guidance." If you were to follow their desires after what has come to you of knowledge, you would have against Allāh no protector or helper.
 
Walioyabomoa majumba ya Twin Towers wote walikuwa Wasaudi, sema tawala za saudi arabia ni mazayuni, na wote hao, wao na israel, waliwekwa madarakani na Waingereza na Marekani.
Vita ya 1948, “Arab-Israel war, Waingereza ndo walikuwa “trainers” wa wanajeshi wa Egypt na ndo walikuwa wakiwaongoza na kuwasimamia walipopigana na Israel.

Wakawaingiza mkenge kwa kukubali “seize fire” kama mara tatu hivi kama sikosei.

Israel waka “regroup” na kuongeza “mercenaries”

Mmarekani na mwingereza, hapo Middle East wana vibaraka wao wengi tu na wameshajipenyeza kote.

Siyo Saudia, siyo Egypt, siyo Jordan. Wote hao wako mfukoni mwao.

Syria, Yemen some parts of Lebanon na Iraq ndo sehemu korofi. Zile zenye majority ya “Shiite”

So it’s simply a divide and rule concept here so to speak.
 
Jibu la YAHUDI NA AMEAHIDI ATAIGEUZA YEMEN KIFUSI
Middle East crisis live: Yemen’s Houthis pledge ‘huge’ response to Israel’s strike on port city Middle East crisis live: Yemen’s Houthis will not abide by any rules of engagement in continued attacks on Israel, group says
 

Halafu usiku wanalianzisha kikundi cha IRS cha Iraq, mpaka saa sita za usiku. Saa sita mpaka asubihi wanashika Hezbollah, asubuhi wanalianzisha Hamas mpaka sanne nne wanajichimbia shimoni. Wayemeni wanawapokea, mziki unaendelea, mdogo mdogo.
Siyo Saudia, siyo Egypt, siyo Jordan. Wote hao wako mfukoni mwao.

Syria, Yemen some parts of Lebanon na Iraq ndo sehemu korofi. Zile zenye majority ya “Shiite”

So it’s simply a divide and rule concept here so to speak.
hayo yasikutishe kijana, yameanza miaka 75 iliyopita, alakini safari hii, hayasimami mpaka ushindi kwa Palestina.

Hushangai "nchi za kibabe duniani ngapi? zoinaendeshwa na vikundi tu vya watu boinafsi?

Hao Mazayuni wanawategemea Wamarekani, Waingereza na NATO lakini hawaelewi kuwa watu wamejifunza kutoka Afghanistan namna ya kuwanyuka hao na kuwashinda, Wameshaanza kujiondowa huko mdogo mdogo.

Leo Wayemeni washainyuka meli ya makontena ya Wamarekani inaitwa "Pumba", hivi sasa inawaka moto baharini huko. Pia kimbembe kingine kimewaangukia mazayuni huko bandari yao ya Eilsat, imebamizwa na makombora ya mbali ya Watemeni, hivi tunasubiri matokeo.
 
Houth wameshajibu huko, lakini mashambulio yao yote yameshushwa.

 
Kumchokoza Mrusi na kuendelea kumsaidia Ukraine kunaweza kuimaliza dunia.

Kwasasa Israeli asijione yuko salama sana na kuchukua option ya unable, makombora ya masafa na hii technolojia rahisi ya drones inaweza kummaliza, maana tayari Iron dome zimeanza kuonyesha udhaifu na anga kupenyeka kiurahisi.
 
Tukiwaambia wakristo hamjitambui mnapinga
Iran sio uislamu wala mimi sio uislamu na wala hakuna uislamu kwenye hii app
Nakwambia tu ujue kuna waislam na uislamu haya majambo mawili yanayotaka kufanana ila hayafanani kabisaaa
 
Na italy ingawaje baadae walijifanya kukanusha ushusika wao
 
Juzi IDF waliporuhusu drone ipite watu walikuwa wanabweka Allah akbar Allah akabar huku wakikata mauno. Kwaanzia jana usiku hakuna tena kubweka na wakibweka Allah akbar Allah akbar wanabweka huku wanajikaza na maumivu makali huku wamebana marinda.

Chezea Israel wewe taifa takatifu teule la Mungu wa kweli.
 
Ili uwaelewe makafir unatakiwa usiwe na akili
Ukiwa tu na akili timamu huwezi kuwaelewa makafiri
Sababu hata nawao wenyewe hawajawahi kujielewa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…