Yemen Houthi: Tutajibu mashambulizi Israel nchi yeyote itakayozua makombora tutaishambulia

Yemen is playing a Commandant role in all Arab Countries, they already defeated Saudi Arabia recently with lesser firepower.
Israel is on their Hit-List, no one is able to save Israel from them.
Hahaha ngoja tuone, walikuwepo wenzie with similar ambitions, where are they now?
 
Hayo ndo walitaka na wameyapata. Wapigane vita vyao. Walianza uchokozi wenyewe.
 
⚡️Kamanda wa jeshi la wanamaji la Iran:

"Israeli imefungua anga la kuzimu, sasa upinzani wote utafanya kazi ya kuwaondoa adui mara moja na kwa wote, pigo linakuja hivi karibuni."
 
Jf ya siku hizi ni tofauti sana na jf ya zamani yani hakuna hata member mmoja aliyekuja na critical analysis kuhusu hili suala zaidi zaidi ni kuona comments za matusi.
Hapa safi sana mtu ana akili ukianzisha ujinga umalizie mwenyewe.

Mimi naona FA wameona we kama ni mtoto uta deal mwenyewe na utoto wako.

Uanzishe ujinga afu utegeme wengine wakukingie kifua 😄
 
Uzuri wa myahudi ukijifanya chizi yeye anakuwa chizi zaidi yako.Ngoja tuone huu mtanange.
Myahudi anaongea kidogo anatenda sana
 
⚡️Kamanda wa jeshi la wanamaji la Iran:

"Israeli imefungua anga la kuzimu, sasa upinzani wote utafanya kazi ya kuwaondoa adui mara moja na kwa wote, pigo linakuja hivi karibuni."
Chitekenye na kucheka mwenyewe.Uzuri waarabu wanakupa kichwa ukiyakanyaga wanakuacha upambane na hali yako.Yemen .anadhani Waarabu wataungana kumsaidia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…