Yemen Houthi: Tutajibu mashambulizi Israel nchi yeyote itakayozua makombora tutaishambulia

Here is your problem kaka, ukikosolewa kidogo unachukulia personal, means you cant argue kwa style hiyo, mabwana hivi mabwana vile.. have some respect halaf focus of facts, dont take it personal
Baada ya kutuma huu uzi ulinishambulia personal au umesahu?
 
Kuwa na wizara ya vita hakuzuii Israel kupigwa.
Hiyo Russia haina wizara ya vita ila kaiguse uone.
Iran haina wizara ya vita ila kaiguse uone.
Iran hii hii rais wake amekufa kizembe milimani na helicopter ya mwaka 70.
au unazungumzia Iran ipi ?
 
Kuna msemo unasema ndugu wakigombana shika jembe ukalime hawa jamaa wa mashariki ya kati wana mambo mengi pamoja na usanii walituletea Dini zao za mchongo wanatufundisha kuishi kwa Amani huko wao wanauwana tena kwa makombora
 
Asee nimeamini unataga. Dume Zika unataga mayai.
 
Allah kwani nani? Si Mungu tatizo wewe unaye sema Mungi ni mtoto wa Maryam πŸ˜„

Hivi we akilini kwako kweli ziko sawa Mungu akaishi kwenye tumbo miezi 9 afu ndio azaliwe na bint Mwenye umri wa miaka 12 πŸ˜„
Mnayemkana kwa kusema "Hakuna Mungu isipokuwa allah" ndiye MUNGU.
 
mashoga yapigike barabara safari hii
 
Na ukafiri kama ugonjwa wa nini?πŸ€”
Mara nyingi Uislam una intertain mambo ya ovyo sana... Badala ya kuwasaidia ndugu zao Yemen waachane na Uraibu wa Mirungi waondokane na Umasikini.

Iran hana faida yoyote na Houthi zaidi ya Kuwatumia tu, siku atawapa Makombora walipue Mekkah na Madina yenu, watawapa Makombora walipue UAE, Oman na popote ambapo Iran ataawaambia wakisha Kula mirungi
Houthi ni sawa na Vijana wanaonyweshwa pombe hili wafanye mambo ya ovyo.

Syria na Houthi nani yuko Karibu na Israel na nani anaye athirika zaidi na Mgogoro wa Wapalestina?
Lakini Syria ametulia anasolve issue zake za Ndani Kwanza Watu wake wapate basic needs, hana ujinga wakurusha Makombora ovyo ovyo.

Kuweni Rational acheni ushabiki wa ovyo, kabla hamjaumizwa na Mgogoro wa Gaza unaotakana na Vita, anzeni kuguswa na Mgogoro wa Kibanadamu ulioko Yemen, watoto wanakufa njaa, wazee wanakula mirungi
 
Baada ya kusema hayo, wanafik mazayuni wa Saudi Arabia wamejibu mbiombio kuwa wao hawahusiki.

Waongo wakubwa wale, mashambulizi ya israel yalihusisaha nchi tano au zaidi, za wazi kabisa ni israel, marekani, uingereza, saudi arabia na jordan. Zakujificha ficha ni Egypt, Djibouti na Eritrea.
 
Mnayemkana kwa kusema "Hakuna Mungu isipokuwa allah" ndiye MUNGU.
Tatizo hamfahamu kule kanisani wachungaji wanasema lazima muwape kitoweo kwa kazi za uchungaji, wawacheni wakamue maziwa kwani ni dhambi kwa mchungaji kunywa maziwa πŸ˜„

Ngojea ni kufahamishe ni sawa sawa na kusema Hakuna Mungu zaidi ya Mungu huyo huyo aliye tuumba.

Nyie mnatuambia Jesus pia Mungu haha, nyie mnatuambia mara Yesu kafa kwa dhambi zenu. Mara kaburi la Yesu lipo Jerusalem. Mara Yesu yuko kakaa pembeni kwaa Mungu. Mara Yesu alikufa siku tatu msalabani afu akafufuka. Mara yeye ndiye wa kwanza kabla ya kila kitu au kabla ya Nabii Ibrahim πŸ˜„

Yesu alikuwepo Kabla hata ya mama yake aliye poswa na Joseph ambaye alikuwa na umri karibu miaka 75, na wakati Mariam akiwa ana miaka 10, hatusikii mkimba nyimbo kama mnayo mzulia Mtume Muhammad alimuoa Aisha eti ana miaka 9 wakati alikuwa umri wake 17-18


Mimi nimetowa mfano hapo sio kwamba namkosoa Mungu nakusudia Mungu akitaka kitu kiwe kinakuwa tu. Mungu ndio alimuonyesha Mtume Muhammad kwenye ndoto akamuowe Aisha, sa kama ni kosa kumuoa Aisha basi pia ni kosa kumzalisha Mariam ana umri wa miaka 12.
 
Saudia tangu zamani hawaungi mkono ugaidi wa Iran na vibaraka wake, maana wanajua tu wakimalizana na Israeli next target ni Mecca kwenye lile jiwe jeusi mnaloliabudu
 
Ya Mama yako mazuri sana ingawa yametumika sana πŸ˜€
πŸ’©πŸ’©πŸ’©πŸ’©πŸ’©πŸ’©πŸ’©πŸ’©πŸ’©πŸ’©πŸ’©πŸ’©πŸ’©πŸ’©πŸ’©πŸ’©πŸ’©πŸ’©πŸ’©πŸ’©πŸ’©πŸ’©πŸ’©πŸ’©πŸ’©πŸ’©πŸ’©πŸ’©πŸ’©πŸ’©πŸ’©πŸ’©πŸ’©πŸ’©πŸ’©πŸ’©πŸ’©πŸ’©πŸ’©πŸ’©πŸ’©πŸ’
 
Wapi nimemuongelea Aisha Maalim?
Scripture ipi inaongelea Bikra Maria kuolewa akiwa na miaka 12?
Mimi nimekataa kumkana Mungu aliyeniumba kwa kusema kuwa hayupo isipokuwa allah.
Hoja yetu ijikite hapo.
Kusema hakuna Mungu ila allah ni kukufuru.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…