Yemen ilipiga Tel Aviv kwa kombora Takriban saa 3 zilizopita, saa 6:30 asubuhi (GMT +3:00), kombora la balistiki lililorushwa na Wahouthi wa Yemen

Yemen ilipiga Tel Aviv kwa kombora Takriban saa 3 zilizopita, saa 6:30 asubuhi (GMT +3:00), kombora la balistiki lililorushwa na Wahouthi wa Yemen

Ritz

JF-Expert Member
Joined
Jan 1, 2011
Posts
51,303
Reaction score
40,190
BREAKING:

🇾🇪🇮🇱 Yemen ilipiga Tel Aviv kwa kombora

Takriban saa 3 zilizopita, saa 6:30 asubuhi (GMT +3:00), kombora la balistiki lililorushwa na Wahouthi wa Yemen lilipiga Tel Aviv.

Lengo lilionekana kuwa kituo cha nguvu cha 'Gezer', kilomita 6 kutoka uwanja wa ndege wa Ben Gurion.

Inasemekana kwamba kombora hilo lilisafiri kilomita 1,800 ndani ya dakika 15, huku majaribio yote ya kulizurura yakishindikana.

Vyombo vya habari vya Israeli vinaripoti kuwa karibu Waisraeli milioni 2 walitafuta makazi. Kiwango cha uharibifu na aina maalum ya kombora iliyotumiwa bado haijulikani. Ansarullah inatarajiwa kutoa taarifa hivi karibuni.

@Mtazamaji_Mashariki_ya_Mashariki
=================

BREAKING:

🇾🇪🇮🇱 Yemen hit Tel Aviv with a missile

About 3 hours ago, at approximately 6:30 AM (GMT +3:00), a ballistic missile launched by Yemen's Houthis impacted in Tel Aviv.

The target appeared to be the 'Gezer' power plant, 6 kilometers from Ben Gurion airport.

The missile reportedly traveled 1,800 kilometers in 15 minutes, with all interception attempts failing.

Israeli media reports that around 2 million Israelis sought shelter. The extent of damage and the specific type of missile used remain unknown. Ansarullah is expected to release a statement soon.

@Middle_East_Spectator

View: https://x.com/megatron_ron/status/1835225278567596237?s=12&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
 
Msije anza lia maana Israel hajali mtoto wala mwanamke
Siyo hawajali, ndicho wanachoweza hicho, ujanja wao ninkuuwa watoto na wanawake na nahospitali.

Hizo kijeshi zinaitwa dead targets.

Mwaka unakata vijana bado wamejichimbia na wanashambulia kutokea Ghaza. Na mateka wanao.

Hamas ni wrong nunber kabisa.
 
Nyoka ni nyoka haijalishi jinsia wala ukubwa
 
Hakina Taifa litakaloweza kuitoa Israel ktk nchi aliyopewa na Mungu. Biblia imeandika kila kitu kitakachojiri siku za mwisho. Hivi vita ni maandalizi tu ya vita kubwa itakayokuja ambapo nchi za kiislamu zikisaidiwa na Urusi zitaivamia Israel. Wakati huo Marekani haitakuwa na uwezo wa kuisaidia Israel. Lakini Mungu ndipo atajitokeza kuwapigania na Mrusi na chi za kiislamu watazikwa ktk Israel na Israel itakuwa salama. Ndipo watamwamini Yesu Kristo.
 
Siyo hawajali, ndicho wanachoweza hicho, ujanja wao ninkuuwa watoto na wanawake na nahospitali.

Hizo kijeshi zinaitwa dead targets.

Mwaka unakata vijana bado wamejichimbia na wanashambulia kutokea Ghaza. Na mateka wanao.

Hamas ni wrong nunber kabisa.
Israeli media speculating that Houthis launched a hypersonic missile, that bypassed Israeli defense by staying at a high altitude and fell in the area of Highway No. 1 near Kfar Daniel.

Israeli army announces 5 injuries of settlers while trying to reach shelters in Tel Aviv.
 
Wayemeni kwanza waliitandika Tel Aviv kwa drone, sasa wameitandika kwa ballistic missile.

Halafu Wayemeni vichwa sana. Wameipitusha missike Red Sea ikaingia Saudi Arabia, Ikaingia Jordan ikaibamiza Tel Aviv.

Maana yake nini?

Wamarekani na meli zao za kivita zote zote wameshindwa kuizuia missile ilipopita Red Sea, vikaragosi na vidosho vya mazayuni vya Saudi Arabia vikashindws kuizua missile, vikaragosi vya Jordan nao wakashindwa kuizuia.

Wayemeni wamesema hawajaanza kushambulia, hiyo ni Bashraf, mziki kamili haujaanza.
 
Siyo hawajali, ndicho wanachoweza hicho, ujanja wao ninkuuwa watoto na wanawake na nahospitali.

Hizo kijeshi zinaitwa dead targets.

Mwaka unakata vijana bado wamejichimbia na wanashambulia kutokea Ghaza. Na mateka wanao.

Hamas ni wrong nunber kabisa.
Huwa natafakari sana kwa nn hamas wanajificha wakati wanatakiwa wafe ili waende peponi kufanya ngono( kula bata)
 
Hayo tafakari wewe.

Mazayuni million 2 walikuwa wabakimbizana kutafuta mahandaki kwa kombora moja tu.
Teh teh! Ipo kazi Yahya Sinwar nae anaishi kwenye mapango wakati kuna dada zake bikira wanasubili peponi akawapige shoo
 
Hakina Taifa litakaloweza kuitoa Israel ktk nchi aliyopewa na Mungu. Biblia imeandika kila kitu kitakachojiri siku za mwisho. Hivi vita ni maandalizi tu ya vita kubwa itakayokuja ambapo nchi za kiislamu zikisaidiwa na Urusi zitaivamia Israel. Wakati huo Marekani haitakuwa na uwezo wa kuisaidia Israel. Lakini Mungu ndipo atajitokeza kuwapigania na Mrusi na chi za kiislamu watazikwa ktk Israel na Israel itakuwa salama. Ndipo watamwamini Yesu Kristo.
Kwamba Waisrael ni Bora zaidi kuliko binadamu wengine aliowaumba siyo?? Kama ndivyo kuliko na haja gani Mungu kuwaumba binadamu wengine??
 
Back
Top Bottom