Wayemeni kwanza waliitandika Tel Aviv kwa drone, sasa wameitandika kwa ballistic missile.
Halafu Wayemeni vichwa sana. Wameipitusha missike Red Sea ikaingia Saudi Arabia, Ikaingia Jordan ikaibamiza Tel Aviv.
Maana yake nini?
Wamarekani na meli zao za kivita zote zote wameshindwa kuizuia missile ilipopita Red Sea, vikaragosi na vidosho vya mazayuni vya Saudi Arabia vikashindws kuizua missile, vikaragosi vya Jordan nao wakashindwa kuizuia.
Wayemeni wamesema hawajaanza kushambulia, hiyo ni Bashraf, mziki kamili haujaanza.