Yemen ilipiga Tel Aviv kwa kombora Takriban saa 3 zilizopita, saa 6:30 asubuhi (GMT +3:00), kombora la balistiki lililorushwa na Wahouthi wa Yemen

Hakina Taifa litakaloweza kuitoa Israel ktk nchi aliyopewa na Mungu. Biblia imeandika kila kitu kitakachojiri siku za mwisho. Hivi vita ni maandalizi tu ya vita kubwa itakayokuja ambapo nchi za kiislamu zikisaidiwa na Urusi zitaivamia Israel. Wakati huo Marekani haitakuwa na uwezo wa kuisaidia Israel. Lakini Mungu ndipo atajitokeza kuwapigania na Mrusi na chi za kiislamu watazikwa ktk Israel na Israel itakuwa salama. Ndipo watamwamini Yesu Kristo.
Kiboko ya wachawi bhana
 
Watapiga tu,ruksa ipo kwenye Quran,kisasi ni vilevile,wakikuulieni watoto ua watoto wao
Hii mkuu haipo.
Ndio maana shurti ya jihad ni kutokuua wanawake,watoto,wanyama,wazee na kuharibu miji.
Uislam hauruhusu kuua mwanamke na mtoto kaka.
 
يَـٰٓأَيُّهَا ٱلَّذِينَ ءَامَنُوا۟ كُتِبَ عَلَيْكُمُ ٱلْقِصَاصُ فِى ٱلْقَتْلَى ۖ ٱلْحُرُّ بِٱلْحُرِّ وَٱلْعَبْدُ بِٱلْعَبْدِ وَٱلْأُنثَىٰ بِٱلْأُنثَىٰ ۚ فَمَنْ عُفِىَ لَهُۥ مِنْ أَخِيهِ شَىْءٌۭ فَٱتِّبَاعٌۢ بِٱلْمَعْرُوفِ وَأَدَآءٌ إِلَيْهِ بِإِحْسَـٰنٍۢ ۗ ذَٰلِكَ تَخْفِيفٌۭ مِّن رَّبِّكُمْ وَرَحْمَةٌۭ ۗ فَمَنِ ٱعْتَدَىٰ بَعْدَ ذَٰلِكَ فَلَهُۥ عَذَابٌ أَلِيمٌۭ ١٧٨

Kuna aya zingine zinazungumzia hilo,nimesahau maana nimekua a'swi,dunia yanipeleka mbio
 
Teh teh! Ipo kazi Yahya Sinwar nae anaishi kwenye mapango wakati kuna dada zake bikira wanasubili peponi akawapige shoo
Tunafahamu roho inakuuma zayuni wa kimara.

Wsyemwni wamesemanhiyo ni test tu kama ile ya drone.

Mchezo kamili bado.
 
Hakina Taifa litakaloweza kuitoa Israel ktk nchi aliyopewa na Mungu. Biblia imeandika kila kitu kitakachojiri siku za mwisho. Hivi vita ni maandalizi tu ya vita kubwa itakayokuja ambapo nchi za kiislamu zikisaidiwa na Urusi zitaivamia Israel. Wakati huo Marekani haitakuwa na uwezo wa kuisaidia Israel. Lakini Mungu ndipo atajitokeza kuwapigania na Mrusi na chi za kiislamu watazikwa ktk Israel na Israel itakuwa salama. Ndipo watamwamini Yesu Kristo.
Duh😀🤣
 
Wayemeni kwanza waliitandika Tel Aviv kwa drone, sasa wameitandika kwa ballistic missile.

Halafu Wayemeni vichwa sana. Wameipitusha missike Red Sea ikaingia Saudi Arabia, Ikaingia Jordan ikaibamiza Tel Aviv.

Maana yake nini?

Wamarekani na meli zao za kivita zote zote wameshindwa kuizuia missile ilipopita Red Sea, vikaragosi na vidosho vya mazayuni vya Saudi Arabia vikashindws kuizua missile, vikaragosi vya Jordan nao wakashindwa kuizuia.

Wayemeni wamesema hawajaanza kushambulia, hiyo ni Bashraf, mziki kamili haujaanza.
Wewe bibi nenda kaleee wajukuuu
 
يَـٰٓأَيُّهَا ٱلَّذِينَ ءَامَنُوا۟ كُتِبَ عَلَيْكُمُ ٱلْقِصَاصُ فِى ٱلْقَتْلَى ۖ ٱلْحُرُّ بِٱلْحُرِّ وَٱلْعَبْدُ بِٱلْعَبْدِ وَٱلْأُنثَىٰ بِٱلْأُنثَىٰ ۚ فَمَنْ عُفِىَ لَهُۥ مِنْ أَخِيهِ شَىْءٌۭ فَٱتِّبَاعٌۢ بِٱلْمَعْرُوفِ وَأَدَآءٌ إِلَيْهِ بِإِحْسَـٰنٍۢ ۗ ذَٰلِكَ تَخْفِيفٌۭ مِّن رَّبِّكُمْ وَرَحْمَةٌۭ ۗ فَمَنِ ٱعْتَدَىٰ بَعْدَ ذَٰلِكَ فَلَهُۥ عَذَابٌ أَلِيمٌۭ ١٧٨

Kuna aya zingine zinazungumzia hilo,nimesahau maana nimekua a'swi,dunia yanipeleka mbio
Mkuu kama una mtu ajuaye tafsir Qur'an kwa kina nenda akakufasirie.
Kilichozungumzwa hapo sio cha kwenye vita mkuu.
Haihusiani na jihad.
Ngojea nitarudi na maelezo ya kina.
 
Back
Top Bottom