Yemen ilipiga Tel Aviv kwa kombora Takriban saa 3 zilizopita, saa 6:30 asubuhi (GMT +3:00), kombora la balistiki lililorushwa na Wahouthi wa Yemen

Yemen ilipiga Tel Aviv kwa kombora Takriban saa 3 zilizopita, saa 6:30 asubuhi (GMT +3:00), kombora la balistiki lililorushwa na Wahouthi wa Yemen

Hakina Taifa litakaloweza kuitoa Israel ktk nchi aliyopewa na Mungu. Biblia imeandika kila kitu kitakachojiri siku za mwisho. Hivi vita ni maandalizi tu ya vita kubwa itakayokuja ambapo nchi za kiislamu zikisaidiwa na Urusi zitaivamia Israel. Wakati huo Marekani haitakuwa na uwezo wa kuisaidia Israel. Lakini Mungu ndipo atajitokeza kuwapigania na Mrusi na chi za kiislamu watazikwa ktk Israel na Israel itakuwa salama. Ndipo watamwamini Yesu Kristo.

View: https://x.com/megatron_ron/status/1835291141748506997?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
 
Wayemeni kwanza waliitandika Tel Aviv kwa drone, sasa wameitandika kwa ballistic missile.

Halafu Wayemeni vichwa sana. Wameipitusha missike Red Sea ikaingia Saudi Arabia, Ikaingia Jordan ikaibamiza Tel Aviv.

Maana yake nini?

Wamarekani na meli zao za kivita zote zote wameshindwa kuizuia missile ilipopita Red Sea, vikaragosi na vidosho vya mazayuni vya Saudi Arabia vikashindws kuizua missile, vikaragosi vya Jordan nao wakashindwa kuizuia.

Wayemeni wamesema hawajaanza kushambulia, hiyo ni Bashraf, mziki kamili haujaanza.

View: https://x.com/warfareanalysis/status/1835170932601618525?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
 
Siyo hawajali, ndicho wanachoweza hicho, ujanja wao ninkuuwa watoto na wanawake na nahospitali.

Hizo kijeshi zinaitwa dead targets.

Mwaka unakata vijana bado wamejichimbia na wanashambulia kutokea Ghaza. Na mateka wanao.

Hamas ni wrong nunber kabisa.
Kikubwa tu msije kulia lia ndio mnachoambiwa hapa
 
Kikubwa tu msije kulia lia ndio mnachoambiwa hapa
BREAKING: Israeli Channel 12 reports that the Israeli military has informed the families of hostages Ron Sherman, Nick Bezer, and Ilya Tolidano that they were killed in an Israeli airstrike. Their bodies were recovered by the Israeli military last December.
 
🇾🇪🇮🇱 FIRES EAT AWAY AT GAS PIPES NEAR TEL AVIV FROM HOUTHI MISSILES

Barrage of missiles flew 2,000 km and took 15 min to arrive from Yemen to central Israel, evading every country's defense systems, fighter jets, jamming systems, and over airspace of allies KSA and Jordan without being detected or shot down.
 
Hakina Taifa litakaloweza kuitoa Israel ktk nchi aliyopewa na Mungu. Biblia imeandika kila kitu kitakachojiri siku za mwisho. Hivi vita ni maandalizi tu ya vita kubwa itakayokuja ambapo nchi za kiislamu zikisaidiwa na Urusi zitaivamia Israel. Wakati huo Marekani haitakuwa na uwezo wa kuisaidia Israel. Lakini Mungu ndipo atajitokeza kuwapigania na Mrusi na chi za kiislamu watazikwa ktk Israel na Israel itakuwa salama. Ndipo watamwamini Yesu Kristo.
Israel wanamwamini yesu kristo?
 
Huyo ni Houthi sio Hamas.
Sawa acha tuone.. uzur hizi show Myahud hajaanza leo, toka aanze kuwapangua hawa raia ni wengi mnoo toka enz kabla ya Masihi kuja duniani wala USA haifikiriwi kuepo enzi hizo
 
Sawa acha tuone.. uzur hizi show Myahud hajaanza leo, toka aanze kuwapangua hawa raia ni wengi mnoo toka enz kabla ya Masihi kuja duniani wala USA haifikiriwi kuepo enzi hizo
Houthi sio Hamas mkuu.
Muulize huyo USA anayemlea Israel kuanzia 2014 hadi 2021 alikutana na upinzani upi alipoungana na Saudi Arabia kuwazuia Houthi wasichukue madaraka Yemeni.
 
Houthi sio Hamas mkuu.
Muulize huyo USA anayemlea Israel kuanzia 2014 hadi 2021 alikutana na upinzani upi alipoungana na Saudi Arabia kuwazuia Houthi wasichukue madaraka Yemeni.
Sawa sawa chief.. hii kitu maadam washakata utepe, basi tuendelee kula show tu hufu fuel iki shoot, atakaye toa mlio bas tutamjua tu
 
Back
Top Bottom