Yemen na Iraq waionya Marekani kuiunga mkono Israel. Watalenga maslahi yao

Inasubiriwa Amri tu kutoka kwa Boss Vladimir Moscow mkuu wewe unafikiri dogo alikurupuka kumvamia Mzayuni? backup ipo ya kutosha na mmarekani akicheza WW3 itanukia. Netanyahu kapagawa anafanya genocide Gaza Kazi anayo KUMEKUCHA
kwahyo mnavamia ili muwasingize wanaojitetea kuwa wameanzisha ww3?
 
Yupo hoi kwa lipi mkuu twende kihoja!! Au unabwata tu hapa jf
we jitie wendawazimu tu , unaona hlf unajifanya huelew , milipuko ya huko moscow imewai tokea lin , kuona drone za nchi yoyote zimegusa moscow , au bado unahisi si ttzo kwa urusi hilo?
 
Si kweli,nchi 14 barani Afrika zimeikataa Israel kujiunga na umoja WA Afrika.

Mojawapo ya hizo nchi ni Tanzania.
hiyo inahusiano gan na hiki kinachoendelea ss hv ? ukihojiwa kwann ulikaa kimya utajibu kwasababu uliikataa Israel isijiunge na umoja wa afrika ?
 
we jitie wendawazimu tu , unaona hlf unajifanya huelew , milipuko ya huko moscow imewai tokea lin , kuona drone za nchi yoyote zimegusa moscow , au bado unahisi si ttzo kwa urusi

kwahyo mnavamia ili muwasingize wanaojitetea kuwa wameanzisha ww3?
Hizo drone zimeleta massive impact IPI? Hapo Noscow Utalinganisha na Kamikaze alichofanya huko Ukraine? Nyie kina Zelensky endeleeni kuomba misaada na mikopo ya silaha. Vita imehamia middle east atawafadhili nani? Biden yupo busy na Israel alafu unakuja kuongea porojo hapa
 
Mrusi anapumulia mashine, kala pesa za kununua silaha za Armenia na silaha hajakabidhi. Armenia inabidi afanye mchakato wa kununua silaha kutoka India na Ufaransa

Sent from my SM-A6050 using JamiiForums mobile app
Silaha alizokua anapeleka mmarekani na mashoga zake ukraine ndo zinazokinukisha mashariki ya kati Putin aliwapa onyo mapema,,,,,, unapeleka silaha nchi inanuka rushwa kwanini wasiziuze kwenye blackmarket
 
Hizo drone zimeleta massive impact IPI? Hapo Noscow Utalinganisha na Kamikaze alichofanya huko Ukraine? Nyie kina Zelensky endeleeni kuomba misaada na mikopo ya silaha. Vita imehamia middle east atawafadhili nani? Biden yupo busy na Israel alafu unakuja kuongea porojo hapa
Ministry of Defense of Ukraine in a bizarre statement:
"Hamas soldiers have been trained by Russian Wagner in Africa."

Zelensky also claimed Yesterday: "Without Russia, Hamas could not do this, we must defeat Russia. West should not forget Ukraine."
 
So What?! Kwani walikuwa
Hawajui kwenye backup ya dogo Russia yumo Iran yumo and so on... Mnafikir Hamas alikurupuka kuivamia Israel nyie pro west mnapiga kelele tu hakuna cha maana mnachofanya Zelensky yake yamemshinda anaongelea ya Middle east shame on him
 
Ni lazma kwanza dhiki kuu itokee, ambayo itatokana na mdororo wa kiuchumi duniani ndipo mataifa yaanze kuzichapa
Hii siyo Almagedon

Ukifuatilia ile Crusade war ilikuwa vivi hivi
 
Ministry of Defense of Ukraine in a bizarre statement:
"Hamas soldiers have been trained by Russian Wagner in Africa."

Zelensky also claimed Yesterday: "Without Russia, Hamas could not do this, we must defeat Russia. West should not forget Ukraine."
Watulie sindano izamishwe.
 
Back
Top Bottom