Yemen na Iraq waionya Marekani kuiunga mkono Israel. Watalenga maslahi yao

Hawa sio watu wa kelele.Ni watu wa vitendo kama vile walivyowahi kufanya kweli.

Waliwahi kufanya lini kweli? America amekuwa akimuunga mkono israel kwa miongo kadhaa sasa. Kipindi hiko walikuwa wapi mpaka sasa?
 
Hawa sio watu wa kelele.Ni watu wa vitendo kama vile walivyowahi kufanya kweli.
Hahaahahaaaaa..... Huwezi kumshinda Myahudi.

Myahudi akishindwa maanake dunia imeshindwa
 
Iraq ipi😂😂😁😬😀😀, Sadam hussein yuko wapi? . Hizi ni failure states zinyamaze kimya, Mungu wa Israeli yupo macho.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…