Yemen: Tutageuza Bahari Nyekundu kuwa kaburi la muungano unaoongozwa na Marekani iwapo wutaamua kuchukua hatua yoyote dhidi ya Yemen

While the US Defense Minister announced the formation of a naval coalition against Yemen last week, the names of France, Spain and Italy were announced as members of the coalition, Reuters reported last night that these three NATO members were against participating in this coalition.
 
Yedioth Ahronoth:

▫️ "Jeshi la Israel" lilifichua kuwa vichuguu katika Ukanda wa Gaza viko juu kwa 500% hadi 600% kuliko makadirio yake, na kwamba kuendelea kwa operesheni ya ardhini kungegharimu jeshi hasara kubwa.

▫️Ikiwa "Jeshi la Israeli" linaamini kuwa kuna kilomita 500 za vichuguu katika Ukanda wa Gaza, basi kuna maelfu ya kilomita zao na fursa zao za matawi, na hizi ni takwimu ambazo haziwezi kuelezewa.
 
Kampuni ya usalama ya baharini ya Uingereza ya Ambrey imesema meli ya kibiashara yenye uhusiano na utawala wa Israel imekuwa ikilengwa na ndege isiyo na rubani katika Bahari ya Arabia katika pwani ya magharibi ya India.
 

Attachments

  • IMG_8491.jpeg
    38.5 KB · Views: 1
Waarabu walikuwa akina Osama na Mulla Omary hawa wengine ni wala kitimoto tu na alkasusu
Uhispania ilipiga marufuku EU kuisaidia Marekani katika Bahari Nyekundu, - gazeti la El Confidencial.

Uhispania ilipinga ushiriki wa Ulaya katika operesheni ya Marekani ili kuhakikisha uhuru wa urambazaji na usalama wa meli katika Bahari Nyekundu.

Inafaa kukumbuka kuwa Madrid hapo awali ilitaka kuhusika kwa Jumuiya ya Ulaya katika Operesheni Atalanta, lakini baadaye ilibadilisha msimamo wake bila maelezo.

Kujibu mashambulizi ya kila siku ya Houthi katika wiki chache zilizopita, Washington imepeleka nguvu zaidi za moto katika Bahari Nyekundu kuliko miongo iliyopita.

Mbali na Ulaya, Wamarekani wanajaribu kuomba uungwaji mkono wa mataifa ya Ghuba ili matendo yao yasionekane kama uvamizi mwingine dhidi ya Waarabu. Wale wa mwisho, kwa upande wake, wanahofia pigo kwa taswira yao katika ulimwengu wa Kiislamu na pia waliitikia Marekani kwa kukataa.
 

Attachments

  • IMG_8498.jpeg
    39.9 KB · Views: 1
Unatapika pure stupidity. Unadhani vita ni uwanja wa kutupiana maneno? Watu wanapoteza maisha alafu wewe unaleta maneno ya kanga.
Jamaa uwa punguani sana ana chuki kali sana na Waislam sijui walimkosea niini. Na safari atapata ugonjwa wa moyo.
 
Unatapika pure stupidity. Unadhani vita ni uwanja wa kutupiana maneno? Watu wanapoteza maisha alafu wewe unaleta maneno ya kanga.
angalia press za HAMAS zote, kila wakiongea wanasema adui yao zayuni anateketeza watu wao na miji yao, na wanauliza mbona international community haiwazuii, mbona marekani anawaunga mkono, wajinga wakubwa wamesahamu wao ndio walianzisha vita. ndio ujinga wa magaidi ndio maana wazayuni wanawavua nguo mbele ya watoto wao.
 
Umejibu swali? Nchi namba moja kwa kuvunja sheria za kimataifa ni Marekani hapa unaandika mapambio yasiyo na mantiki.
Ndio maana nikampotezea
Maana kakosa hoja anaruka ruka kama bisi kikaangoni
 
Vita alianzisha israhell kutoka huko alipotoka akaja kukaa hapo
Arudi alipotoka hata mie ntakua wakwanza kulaani atakae enda kumripua huko atakapokua na ntaungana kuitetea israhell
Ila kwa hapo walipo wanatakiwa wapigwe wafe kwa wingi
 
Vita alianzisha israhell kutoka huko alipotoka akaja kukaa hapo
Arudi alipotoka hata mie ntakua wakwanza kulaani atakae enda kumripua huko atakapokua na ntaungana kuitetea israhell
Ila kwa hapo walipo wanatakiwa wapigwe wafe kwa wingi
waarabu nao (wapalestina) si warudi kwao misri na jordan? hapajawahi kuwepo taifa la palestina hapo. tuambie lini lilikuwepo.
 
BREAKING:

⚡ 🇮🇱🇾🇪 Kampuni kubwa zaidi ya meli duniani, Maersk, yatangaza kuwa itaanza kusafirisha tena katika Bahari Nyekundu.

Houthis walitangaza kwamba meli zote zinaweza kusafiri kwa uhuru, isipokuwa zile zilizo na uhusiano wa Israeli au zinazoelekea Israeli.
 

Attachments

  • IMG_8505.jpeg
    61.8 KB · Views: 1
Unacheza na Yeman, Maersk wamekubali hawaendi Israel
 
Unaaza kuchanganyikiwa sasa!
 
Unaaza kuchanganyikiwa sasa!
Hii ni kauli ya kiimani ambayo hujaitolea ushahidi.

Mara nyingi naweza kuonekana nachanganyikiwa, na watu wasiojua kusoma kwa ufahamu au kufuatilia mada kimantiki.

Wewe unaweka ad hominem fallacy hapa, unaacha kujadili hoja, unamtukana mtoa hoja.

Hiyo ni dalili ya kukosa hoja.

Weka hoja iliyosimama kwa ushahidi.

Usiweke kauli za kiimani na ad hominem fallacies.
 
Sijawahi kuona USA akiheshimu taratibu za kimataifa za kivita.
Taifa linaloongoza kuwa na crime war rates ukiitoa Myanmar na Israel basi ni USA.
Hiyo kutokutumia nuclear isiwe sababu.
Maana kama silaha USA zipo kibao zenye nguvu tofauti na nuke ambazo zinaangamiza mathalan white phosphorus na cluster bombs.
Na zote hizo USA kazitumia.
 
Unalinganusha Yemen na Marekani. Lazima nichoke tu.
Sijalinganisha Yemen na USA.
Nachojaribu kukwambia ni kwamba vita sio tu bajeti kubwa na jeshi kubwa Bali pia ni mbinu.
Usitetee USA kwamba anajizuia kutumia nuke weapons ila nguvu anazo.
Maana nuke weapons zimesambaa technology yake .
N.korea na wengineo pia wanazo.
Hiyo USA ilitoa jeshi na silaha kuisapoti Saudi Arabia oil kumtetea Mansour asitoke madarakani ila Houthi kikundi kidogo kime repel mashambulizi yote zaidi ya miaka mitano.
 
Unaona ulivyo unachekesha????!!!!
Ottoman empire ni himaya ya waturuki iliojikita kutoka Konya na Aknara na kupanua ardhi mpaka Istanbul past years Constantinople na ilitawala maeneo mengine ya uarabu na east Europe ikiwemo Albania,Armenia, Azerbaijan.
Mamluk sultanate ilikua ni tawala inayohusisha Syria na Misri na zote zililuwepo Kwa wakati mmoja kabla Ottoman hajaziangusha hizo tawala na kuziweka chini ya Ottoman.
Ayyubi sultanate ilioanzishwa na Salahuddin ilikua sehem ya Ali Seljuk sultanate ama Ottoman ya zamani.
Byzantine ilikua sehem ya Roman empire ambayo makao yao yalikua Nikea na Rome na Constantinople.
KWA MAELEZO UNAYOLETA HAPA NI KWAMBA HIZO TAWALA ZOTE ZILIKUA SEHEMU MOJA AKATI KILA TAWALA ILIKUA NA SEHEM ZAKE NA ZOTE ZILIKUA ZIKIKINZANA.
WE BADO MTOTO KIELIMU.
KUNA WANA WA ISRAEL ILA HAKUKUWAHI KUWA NA IMAYA AU ARDHI TAWALA YA ISRAEL.
WANA WA ISRAEL WAMEKUWA WATU WA KUHAMAHAMA .
NA UISLAM HAUKUANZIA MWAKA ULIOTAJA.
USINIJIE NA VITAARIFA UCHWARA KIJANA.
Pia Wana Israel wameishi mpaka Saudi Arabia he walijua hilo???
Hawakuwahi kuwa na ardhi maalum Hawa jamaa japo walijikita sana sehemu ya middle east ghuba ya Misri ,Jordan na Palestine.
 
We akili hauna.
GUTERRES AMESEMA "HAMAS ATTACK DIDN'T HAPPEN IN A VACUUM" je wafahamu maana yake????
Watoto chini ya umri wa miaka 13 zaidi ya 2000 wako jela ya jeshi ya Israel unaweza kusema Kwa kosa Gani hasta???
Jenin na Ramallah Kila siku Israel wanavunja nyumba na kukamata watu unaweza kunipa sababu???
Kikao Cha mwisho Cha PLO na Israel na UN kulitoka makubaliano kuwa Israel itahusika na na Kuisaidia West bank na Gaza kiusalama na kiuchumi na kisiasa ambayo hiyo no sawa na indirect rule .
Lakini mbona Israel inafanya tofauti na kukandamiza wapalestina????
Punguza kuropoka.
Kabla ya Hamas kuvamia October 7 unajua kabla ya hapo Israel imekua ikifanya Nini Kwa raia wa West bank??
Tuombe Mungu watoto zako wasifuate akili zako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…